Kwa wanaume, epuka aina hizi za wanawake

WANAUME WADHAIFU WANA NADHARIA ZA MAHUSIANO ZA AJAB SANA!!

Mwanaume wa kuamini UANAMUME WAKE unapatikana kwa kuwa na Mwanamke DUNI NA DHAIFU WA MAWAZO,MALI,ELIMU,FIKARA,NDOTO ZA MAISHA,KUJIELEZA!!

here angezaliwa kibatari kikamulika.mwanga chumbani!!
IF AT ALL HUWI MWANAMUME MPK NIWE DHALILI,WE BASI TENA!!

MTOTO WANGU WA KIUME NINAMFUNDISHA KUJIAMINI ILI ASINILETEE AIBU ZA AINA HII!!

A MAN SHOULD BE ONE!!
PERIOD!!
 
Mwanamme atakaefatisha huu uzi indeed atapotea. Doesn't make sense at all.

1. So mwanamke asiwe msomi?:confused:

2. Asiwe matawi hata kama kazaliwa kuzuri na haiwezi kufichika??

3. Asiombe hela? What nonsense is this?

4. Ukishawajua familia yake na ofisini then what?

5. Here we go again, watoto wa single parents watengwe.

No point reading till the end.

put it easy dear, don't loose ure energy
 
Iko sawa ukiiangalia kwa jicho la tatu. Swala hapa sio unyanyapaa Bali kuleta awareness kuwa malezi ya mzazi mmoja kuna vitu unaweza kushindwa kuviona Kama malezi ya wazazi wawili pamoja.
No 5 haiko sawa mkuu
 
Hapana sijasema wanawake hawaepukiki..ila.kinachotakiwa Ni kifanya chaguo sahihi. Mbona wapo wanawake wazuri Sana ten Sana kuliko ninavyoweza kueleza. Ndio maana biblia inasema anayepata mke na sio mwanamke tu amepata kitu chema.
Tatizo liko kwenye uchaguzi sahihi maana sio kila mwanamke anaqualifya kuwa mke. Na HayA yapo kwenye jamii yetu sana. Itakuwa sio sawa tukifumba macho Kama hayuyaoni
Kwa kifupi tu tuseme MWANAUME WAEPUKE WANAWAKE
 
Hapana sijasema wanawake hawaepukiki..ila.kinachotakiwa Ni kifanya chaguo sahihi. Mbona wapo wanawake wazuri Sana ten Sana kuliko ninavyoweza kueleza. Ndio maana biblia inasema anayepata mke na sio mwanamke tu amepata kitu chema.
Tatizo liko kwenye uchaguzi sahihi maana sio kila mwanamke anaqualifya kuwa mke. Na HayA yapo kwenye jamii yetu sana. Itakuwa sio sawa tukifumba macho Kama hayuyaoni
Ni kweli, wanawake wema tupo kama mimi mwanaume alienipata hakika kaokota dhahabu
 
Back
Top Bottom