Ninayo hesabu ya uhakika kwa wanaozihitaji nyumba za NHC - Posta.
Jisogeze.
- Pango kwa mwezi ni Tshs. 350,000.00
- VAT 18% = 63,000.00
- Huduma za maji (yenye chumvi kibao),ulinzi, nk. approx 200,000.00
- maegesho ya kutwa (kwani hazina maegesho kwa wapangaji wa NHC ila kwa wapangaji wa wabia) Tsh. 2,700.00 sawa na Tsh. 64,800.00
Jisogeze.