MBUFYA
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 445
- 68
jamani poleni sana na shughuli na harakati katika maisha. mimi nimesoma pale na nisehemu ambayo sita isahau katika historia ya elimu yangu. natamani kujua kama kuna magreatthinkers wengine wamesoma tukuyu sekondari, ili kupitia jukwaa hili tuweze kujadili jinsigani ya kuisadia shule yetu.