Kwa waliosoma tukuyu sekondari tu.

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
jamani poleni sana na shughuli na harakati katika maisha. mimi nimesoma pale na nisehemu ambayo sita isahau katika historia ya elimu yangu. natamani kujua kama kuna magreatthinkers wengine wamesoma tukuyu sekondari, ili kupitia jukwaa hili tuweze kujadili jinsigani ya kuisadia shule yetu.
 
Mmmhh sidhani kama ujakua peke yako tu maana wengi walifail so axces na laptonga,ma cm ya ukweli hawana(Joking)

Humu wengi wajivuni,wengi mashule makubwa makubwa Kibaha,Mzumbe,ilboru,tabora boys,mzizima,azania,kilakala,msalato,jangwani,kisutu,kbasila,zanaki lakini hizo shule zenu za kantalamba upati mtu(joking)

Ukweli Ngumu kumesa
 
mkuu nashukuru kwa kudandia hii hoja isiyo kuhusu, kwani ni kwa ajili ya wana tukuyu sekondari tu, ila ukubwa wa shule una upima vipi
 
KWELI!!! (not jocking)
 
KWELI!!! (not jocking)

Hahaaaa KANCHI,ndo maana nimemwambia hapati mtu hapa wa tukuyu,ndo maana mpaka saa hizi hana hata mtu aliyejitokeza!! Ebu mwambie aanzishe sredi ya shule kubwa uone watu watavyojaaa!!! Ngumu kumesa
 
mkuu nashukuru kwa kudandia hii hoja isiyo kuhusu, kwani ni kwa ajili ya wana tukuyu sekondari tu, ila ukubwa wa shule una upima vipi

I was Joking,Ngumu kumesa sorry,ukubwa wa shule unapimwa kwa mambo mengi,kua na members wengi ebu anzisha sredi ya ilboru au mzumbe,azania uone watavyojaa
 
Mi nadhani hapa unataka kuzisifia shule ulizo amua kuzitaja, kilicho kuleta humu ni kipi? humu mimi nahitaji watu walio soma tukuyu tu hata nikimpata mmoja ntafurahi.
 
Pole sana, shule zilianzishwa miaka ya 2000'S kupata members humu ndani ni kazi sana, labda kwa huko Rungwe anzisha thread za kutafuta members wa Rungwe, Mwakaleli, Kipoke, Lutengano, Irambo na Manor Seminary unaweza pata.
 
Acha kupotosha umma, tukuyu ilianzishwa mwaka 1997
 
Najua wote mliochangia humu ni wana TUKUYU. AHSANTENI SANA
 
Tukuyu? Nimesoma Lutengano, na mahasimu wetu wakubwa walikuwa ni Mwakaleli sec, aidha demu wangu wa kwanza alikuwa akisoma Kipoke... shule iliyojaliwa wasichana wazuri kipindi kile wilayani Rungwe.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom