Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,714
- 24,899
NdioooHayati aliharibu sana akili za Watanzania. Hivi kweli mzungu atake kumuangamiza muafrica ni lazima atumie njano ya Corona?
NdioooHayati aliharibu sana akili za Watanzania. Hivi kweli mzungu atake kumuangamiza muafrica ni lazima atumie njano ya Corona?
Ok vizuri, lakini Kwakuwa miaka mitatu tangu Chanjo iingie na watu kuchanja inaisha July Hadi December hapo 2024,nilichanja ile ya mchina hadi wa leo sina madhara yoyte sijui huko mbeleni lkn kwa sasa nipo good
poaOk vizuri, lakini Kwakuwa miaka mitatu tangu Chanjo iingie na watu kuchanja inaisha July Hadi December hapo 2024,
Usisite kuleta mrejesho ikiwa utakumbana na sintofahamu yoyote.
Tunataka kujua ufanisi, faida na HASARA za Chanjo ya CORONA katika miili ya ndugu zetu Wat
SafiNilichanja na niko imara, sina magonjwa wala siugui hovyo na ikija nyingine ntachanja
Si Kweli,Ndiooo
Nonsense unakula bange niniNakumbuka nilimwambia Yesu mi naenda kuchanja ila tunaenda wote. Nilichanja Ile Johnson And Johnson na sijawahi patwa na kitu chochote Cha ajabu.
Hazikuwa chanjo za majaribio, majaribio yalifanyika kwanza kabla ya kuletwa rasmi kwa watu wengi.Si Kweli,
Mtu mwenye utimamu wa akili, wasiwasi ndo akili yenyewe.
Zile zilikuwa Chanjo za majaribio, hivyo ni HAKI kuzitilia shaka.
Kabla ya kupata chanjo nilikuwa dhaifu sana nikipata mafua. Naweza nisiende kabisa kazini au nikaenda hospitali naambiwa hiyo ni kwa sababu ya mafua napewa dawa. Joto kali na kusikia baridi mwilini, kichwa kuuma unaweza fikiri naumwa malaria sio mafua.Fafanua kidogo,
Umesema kuwa baada ya kuchanja, una zaidi ya miaka miwili hupati homa na mafua.
Hapo nimekusoma😀Kabla ya kupata chanjo nilikuwa dhaifu sana nikipata mafua. Naweza nisiende kabisa kazini au nikaenda hospitali naambiwa hiyo ni kwa sababu ya mafua napewa dawa. Joto kali na kusikia baridi mwilini, kichwa kuuma unaweza fikiri naumwa malaria sio mafua.
Hali hii ininifanya niwe makini sana kutoambukizwa mafua maana nilikuwa naujua mziki wake nikiumwa. Akiumwa yeyote nyumbani alikuwa anahakikisha mwenyewe yuko mbali nami akinionea huruma ili asije niambukiza hayo mafua.
Lakini kwa sasa hiyo hali haipo tena. Nyumbani wataumwa wote lakini kwangu hapana na nikiyapata yakuwa ya kawaida ambayo hupotea bila kujua kama nilikuwa ninamafua.
Suala la chafya hilo halihusiani na chanjo Mkuu. Kama mwili wako unafanyakazi vizuri lazima upige chafya wakati mwili anapodai hiyo huduma.
Nafikiri utakuwa umenielewa sasa ndugu Rabbon
Asante Sana
Uongo, hazikuwa chanjo zote, ilikuwa ni chanjo moja tu ya J&J na risk yake ilikuwa ni mtu mmoja tu kati ya watu milioni moja watakaopata hiyo chanjo.Watengeza Chanjo wenyewe waliokiri kuwa Chanjo huambatana na kuganda Damu Kwa baadhi ya watu,
Hukusikia Hilo?
Nonsense kwako ni SENSE Kwa wengine,Nonsense unakula bange nini
Faida positive ya chanjo ilikuwa ni kuzuia tu kupata Corona au madhara yake makali faida nyingi ni ziada tu.Hata Mimi sijachanja na AFYA yangu Iko sawa tu.
Tunataka tu kujua ikiwa Chanjo imeleta tofauti yoyote kwenye AFYA za Watanzania wenzetu, positive na negative.
Hakika, kuna vilaza wengi sana wakina Gwajiboi, wachingaji uchwara, conspiracists kama kina Mathanzua n.kWatu walilishwa sumu sana kuhusu chanjo, wengine walilihusisha hata na mambo ya imani kitu ambacho hakikuwa sana kabisa.
Mbona hata dawa za malaria watu zinawaletea shida na wengine kupoteza hata uwezo wa kuona na wapo waliokuwa pia kwa sababu ya matumizi ya dawa mbalimbali lakini bado dawa hizo wengine tunazitumia mpaka leo na wala hazija tuletea shida yeyote.
Nafikiri uelewa wa watu ulikuwa mdogo kuhusu hizo chanjo.
Una huo ushahidi wa rate ya Mtu 1 Kwa 1,000,000?Uongo, hazikuwa chanjo zote, ilikuwa ni chanjo moja tu ya J&J na risk yake ilikuwa ni mtu mmoja tu kati ya watu milioni moja watakaopata hiyo chanjo.
Punguza kujieleza mdogo wanguNonsense kwako ni SENSE Kwa wengine,
Kwamba unashangaa kumwambia alimwambia Yesu aongizane naye Ili kumlinda katika process ya Kupata Chanjo na baada ya Chanjo?
Yesu huongozana wamwaminio kupitia Roho wake mtakatifu.
Japo ni kawaida.Hakika, kuna vilaza wengi sana wakina Gwajiboi, wachingaji uchwara, conspiracists kama kina Mathanzua n.k
Watoto wa 2000 ukishaota tu ndevu unaona Kila mtu ni mdogo wako😀Punguza kujieleza mdogo wangu