Hayati Magufuli aliingilia ajenda ya kupunguza watu duniani

Jackwillpower

JF-Expert Member
Oct 4, 2017
2,301
3,411
IJUWE AJENDA YA KUPUNGUZA IDADI YA WATU DUNIANI HADI IFIKAPO 2030 NA CHAPA YA 666

JPM alivyohamasisha watu kutotumia UZAZI WA MPANGO, KUTOTUMIA CHANJO, KUHAMASISHA WATU WAZALIANE, ALIKUWA ANAENDA KINYUME NA AJENDA ZA FREEMASON.

AJENDA IJULIKANAYO KAMA, (21--2030), YA FREEMASONS KUTOKA MWAKA 1776 MPAKA MWAKA 2030 NA PUNGUZO LA WATU DUNIANI.

TUangalie kile kinachojulikana kama ajenda 21--2030 ya Illuminati iliyoandaliwa na Profesa. Adam Weishaupt, aliyeandaa mpango ujulikanao kama Long Term Plan, yaani mpango wa muda mrefu ,ukiwa ni mkakati maalum wa kuutawala ulimwengu chini ya dini na Serikali moja ya dunia.

Mpango huo unaitwa "Agenda 21--2030 and illuminati New World Order " inamaanisha hitimisho la kutekelezwa kwa ajenda 36 ndani ya karne ya 21 hususani katika kipindi kuanzia mwaka 1776 hadi mwaka 2030. Hiki ni kipindi cha miaka 254 yaani(2+5+4=11) iliyowekwa na Profesa Adam weishaupt aliyeanzisha taasisi ya illuminati mwaka 1776 wakati Marekani ilipopata Uhuru wake ,hatua muhimu iliyochukuliwa hivi karibuni katika kutekeleza agenda 21 --2030 ni wakati wa mkutano wa 70 wa Umoja wa Mataifa uliofanyika tarehe 15/Septemba 2015 mjini New York Marekani pamoja na mkutano wa World Economic Forum uliofanyika mwaka 2018 huko Davos nchini Switzerland.

Watu muhimu katika kutekeleza ajenda za wajenzi huru walihudhuria Kwenye mkutano huo kwa lengo la kuwahamasisha viongozi wote kukubali mpango wa kuanzishwa kwa Serikali moja ya dunia haraka iwezekanavyo hata hivyo taarifa hizi hazitolewi kwa uwazi na vyombo vikubwa vya habari zaidi ya kuzipata kutokana na juhudi za watu binafsi wanaochunguza mwenendo wa juhudi za wajenzi huru katika kufanikisha mpango wa muda mrefu uliowekwa na Profesa. Adam Weishaupt.

Tukichunguza kwa umakini na kuhusianisha matukio yanayoendelea kutokea duniani ,basi ni wazi kwamba tutakuwa tunajionea wenyewe jinsi mpango wa ajenda 21--- 2030 unavyofanya kazi ,idadi ya watu inatakiwa kupungua na kufikia watu milioni 500 ambao watawatumikia mabwana wachache katika Serikali moja ya dunia.

Ili kufanikisha hili wajenzi huru walianzisha Sera za Ubaguzi wa rangi, kusababisha machafuko sehemu mbalimbali, mfano, Kongo,Libya, Syria,Rwanda, Sudan, nk kusababisha wimbi la wahamiaji ,na wakimbizi ,kuhafifisha maadili ndani na nje ya nyumba za ibada, kuondoa Uhuru wa Mahakama ili haki isitendeke, kusababisha hali ngumu ya maisha na kuwafanya raia wote duniani kuwa tegemezi kwa Serikali zao, kuondoa mipaka ya nchi kwa lengo la kuunda majimbo 10 yatakayokuwa chini ya Serikali moja ya dunia.

Kwa nje" 21 Agenda "imepewa jina la " New Universal Calendar" ikijulikana pia kama "Agenda 2030 Program " inayosisitiza watu kufanya kazi kwa pamoja ili kuondoa umaskini duniani ,chini ya mwamvuli wa kukomesha machafuko ,kutokomeza umaskini na kuleta haki sawa, mpango mpya wa ulimwengu utaanzishwa ,bahati mbaya ni kwamba watu wengi hawajui kinachoendelea nyuma ya pazia. Tayari viongozi mbalimbali wa kisiasa na kiroho ikiwa ni pamoja na Papa ,wamebariki "Agenda 2030 " na kuunga mkono utekelezwaji wake ,lakini ukweli ni kwamba ajenda 2030 ni nyenzo ya illuminati katika kusukuma gurudumu la kuelekea mpango mpya wa dunia ikiwa ni miaka 15 kuanzia mwaka 2015 baada ya mkutano wa Umoja wa Mataifa kumalizika mjini New York.

Hii inamaanisha kwamba ama mwaka 2030 au Kabla ya mwaka 2030 wajenzi huru watakuwa wamekamilisha ajenda 36 na dunia itakuwa inatawaliwa chini ya Serikali na dini moja ya dunia.

Lakini hili linategemea iwapo Mungu ataruhusu watekeleze mipango yao katika kipindi walichopanga. Benjamin Disraeli ,Waziri Mkuu mstaafu wa Uingereza alisema" The world is governed by people far different from those imagined by the public " akimaanisha kwamba ulimwengu unaongozwa na watu tofauti kabisa na wale wanaodhaniwa na umma kuwa ndio viongozi wao, hao si wengine bali ni illuminati na wajenzi huru ,kwa kuwa wanafanya kazi kwa siri ,hawahitaji kujitokeza mbele ya umma bali huweka mawakala wao kwenye ofisi na wao wakiwa wanatawala kwa kutumia "Remote Control".

Bilionea wa teknolojia ya software Bwana Bill Gates pamoja na mkewe Melinda Gates wamekuwa wakitoa tamko la kupunguza idadi ya watu kwa kutumia chanjo ,siku ya julai 11 2012 wakiwa na uongozi wa Umoja wa Mataifa (UN) pamoja na viongozi wa kiserikali kutoka mataifa mbalimbali waliadhimisha miaka 100 tangu mkutano wa kwanza uliojulikana kama " First international Eugenics Congress " jijini London kwa kufanya hafla iliyohusu uzazi wa mpango "Family Planning " wakiwa na wanaharakati wanaoeneza Sera za utoaji mimba ikiwa ni njia mojawapo ya uzazi wa mpango.

Bill Gates katika hafla hiyo alisisitiza "let's look at each one of these and see how we can get this down to zero, probably one of these numbers is going to have to get pretty near to zero ,That's fact from high school algebra" akaendelea kufafanua "let's take a look ,first we got population ,The world today has 6.8 bilion people ,That's headed up to about 9 bilion people ,Now if we do a real great job on new vaccines , health care, reproductive health services ,we could lower that by perhaps 10 or 15 percent " akimaanisha kwamba ulimwengu una watu wapatao bilioni 6.8 kuelekea bilioni 9 ,sasa kama tukifanya kazi kubwa kwa kutumia chanjo mpya ,huduma za afya, tunaweza kupunguza Pengine hadi asilimia 10 au 15.

Mwezi mei mwaka 2012 mfuko wa Gates Foundation ulitoa jumla ya paundi 100,000 kwa watafiti wa Chuo Kikuu kinachoitwa University of North Carolina na Chapel Hill, kwa makusudi ya kutafuta njia ya kudhibiti ongezeko la watu duniani. Mfuko wa Gates Foundation umekuwa ukifanya kazi pamoja na UN na kuweka Sera ya kuwa na mtoto mmoja nchini China, Gates Foundation imekuwa ikifanya kazi na WHO ikiwa ni pamoja na kuwalazimisha akina mama na watoto kupigwa chanjo.

Pia Inafanya kazi na Serikali ya Uingereza ambapo julai 11 kitengo cha Serikali ya Uingereza, UK Department for International development " kiliandaa Mkutano wa Eugenics International Conference wakati Gates Foundation ulitoa mamilioni ya dola za kimarekani kwa ajili ya chanjo za watoto na akina mama nchini India, Gates Foundation wanafanya kazi pamoja na kuhakikisha akina mama wanafuata uzazi wa mpango hata kwa kutoa mimba(abortion).

Bill Gates aliwahi kuhutubia utabiri wake kuhusu virusi hivi vya corona miaka iliyopita 2018 na kudai virusi vya corona vitaua mamilioni ya watu , hii ilikuwa ni sehemu ya mipango ya illuminati, hata David Goldberg, aliwahi kuonya kwamba virusi vya corona ni tukio ambalo litatokea mwaka 2020, kwenye maneno yake ya mwisho kabla hajauawa.

Ilisemekana virusi vya corona vinatokana na supu ya Popo na China wanapenda sana supu hiyo, hivyo wataalamu walidai chanzo cha Corona ni matumizi ya supu ya Popo ,huko nchini Libya Serikali ya nchi hiyo iliwahi kukamata virusi vilivyokuwa vimepangwa kusambazwa kwa makusudi nchini humo. Hata nchini Tanzania serikali iliwahi kubaini kontena la kondomu aina ya stud lililokuwa na kondomu zilizopandikizwa tayari virusi vya ukimwi na kuyateketeza yote ili kunusuru raia wake.

Virusi vya corona huambukizwa kwa hewa na majimaji ya muathirika ,dalili zake ni pamoja na kuumwa kichwa ,kukohoa sana kama mgonjwa wa kifua kikuu ,koo kubana ,mbavu kubana kukosa pumzi hadi mgonjwa kufa, jinsi ya kujikinga ni kuvaa Maski au kuziba pua na mdomo kwa kitambaa kisafi na kibaya zaidi hakuna dawa wala chanjo, pia ugonjwa unaambukiza Kabla ya kuonyesha dalili kwa muathirika ,eneo ambalo muathirika atakuwa kaacha virusi hivyo ,virusi hivyo vitakaa eneo hilo kwa muda wa wiki mbili na kisha hufa, maambukizo yake hayana tofauti na homa ya ini ,yaani kwa kugusana au kushikana .

Taarifa ya kutoka (SVR) ,High Secret Foreign Intelligence Service iliyovuja na kusomwa na chanzo cha Kremlin ,ilieleza kuwa virusi vya Zika vilitengenezwa kama silaha ya kibaiolojia na Mwenyekiti wa taasisi isiyo ya kiserikali alikuwa ni Bill Gates mmiliki wa Bill & Melinda Gates Foundation ( juga:Lebih.of 2.000 pregnant women in Colombia infected with zika virus)

Mwaka 1921 Margaret Sanger aliwahi kupewa fedha hizo na akaanzisha taasisi inayoitwa "American Birth Control League" (ABCL) ilipofika mwaka 1923 ABCL ilianzisha kitengo kingine kinachojulikana kama "Birth Control Research Bureau (BCRB) kwa lengo la kufanya tafiti mbalimbali za kudhibiti ongezeko la watu duniani.

Mwaka 1939 ABCL liliungana na taasisi nyingine na kuitwa Birth Control Federation of America(BCFA) na ilipofika mwaka 1942 BCFA ilibadili jina na kuitwa Planned Parenthood Federation (PPF) Tangu wakati huo hadi leo kumekuwepo na taasisi nyingi duniani kote zilizotokana na ABCL na hatimaye PPF ikiwa ni kazi ya familia ya wajenzi huru ya Van Duyn, kwa lengo la kutekeleza mipango ya illuminati kabla ya kuanzishwa kwa Serikali moja ya dunia.

Kuna mifumo mingi inayomilikiwa na Freemasons na kutoa fedha zake katika taasisi ya PPF ikiwa ni pamoja na FORD Foundation; Morgan Guaranty Trust, Z.S. Reynolds Foundation, Bill and Melinda Gates Foundation, pamoja na mifumo mingine mingi duniani.

Mwandishi William Cooper anaandika katika kitabu chake " Behold a pale Horse" Katika ukurasa wa 166-167 anasema, kwamba Planned Parenthood Federation, walifanya tafiti tatu zilizokuwa na lengo la kutafuta njia za kupunguza ongezeko la watu duniani.

Utafiti wa kwanza ulifanyika mwishoni mwa vita Kuu ya kwanza ya dunia ,utafiti wa pili ulifanyika huko Huntsville, AL mwaka 1957 na utafiti wa tatu ulifanyika mwaka 1968 ,Tafiti zote tatu zilifikia hitimisho la kupunguza idadi kubwa ya watu duniani kwa kutumia njia yoyote ile iwezekanavyo Kutokana na tishio la kasi kubwa ya ongezeko la watu.

Muumini wa Freemasons na Msomi mkubwa katika fani ya utabibu Dr. Aurelio Peccei alibaini uwezekano wa Janga lililojulikana kama "Black Plague" na hatimaye Janga hilo likapewa jina la AIDS ,William cooper anasema kwamba Illuminati na Freemasons wanayo tiba ya Ukimwi hata Kabla ya kulipuka kwa ugonjwa huo lakini hawawezi kutoa tiba hiyo hadi idadi hiyo ya watu imepungua kwa kiasi kitakachowaridhisha.

Dr Aurelio Peccei alishirikiana na madaktari kadhaa kutengeneza AIDS ambapo mmoja wa madaktari hao alikuwa ni Dr Wolf Szmuness aliyesoma na kuishi kwenye chumba kimoja na Marehemu Papa yohana Paulo II, ni mpango wa wajenzi huru kupunguza idadi ya watu kwa njia mbalimbali kutokana na madai kwamba watu wengi siyo wazalishaji bali watumiaji na kwamba ni vigumu kwa Serikali moja kutawala na kuhudumia mabilioni ya watu wasio na faida katika uchumi wa dunia.

Katika kutimiza mpango wa Marekani WHO iliwahi kushirikishwa katika kikao cha kupunguza idadi ya watu maarufu kama mkutano wa Henry Kissinger ,ulioitwa NSSM au Security Study Memorandum 200 au (NSSM --200) ajenda hii ilitangazwa jumanne ya Desemba 10, mwaka 1974 ,kuzindua ugonjwa wa ukimwi duniani ,mwaka 1980 wakatangaza kwamba "dunia ipo huru dhidi ya Ugonjwa wa ndui ,ugonjwa uliodumu kwa kampeni ya miaka 13 ya chanjo, kampeni ya ndui ilianza mwaka 1967, WHO mwaka 1980 ikatangaza kwamba ndui imefutiliwa mbali, ghafla mwaka 1981 ikatangaza chanjo ya ndui yaanzisha Ugonjwa wa UKIMWI, kiasi cha waafrika milioni 100 wanaoishi Afrika ya kati walichanjwa na WHO.

Hilo linakwenda Sambamba na uanzishwaji vita ya tatu ya dunia, ingawa vita ya tatu ya dunia imepangwa kutumia muda mfupi zaidi ukilinganisha na vita kuu mbili zilizotangulia ,lakini inakadiriwa kwamba watu wengi Zaidi watauawa katika vita ya tatu ya dunia kuliko vita mbili kuu zilizopita hii ni kwasababu teknolojia ya silaha za kivita imeongezeka ikilinganishwa na miaka iliyopita.

Hitler alitangaza mwanzo wa vita kuu ya pili ya dunia vita kuu ya pili ya dunia ilianza mwaka 1939 na kuchukua miaka 6 yaani mwaka 1945.Inasemekana idadi ya watu waliolengwa kupoteza maisha ni zaidi ya idadi ya watu waliopoteza maisha wakati wa vita kuu mbili zilizotangulia kwa pamoja na kujumlisha watu waliopoteza maisha wakati wa mateso makali ya mnyama wa namba 666 kuanzia mwaka 538 hadi mwaka 1798,Historia inasema kwamba jumla ya watu milioni 37 waliuliwa Kwenye vita kuu ya kwanza ya dunia ambapo kati ya hao, milioni 27 walikuwa ni raia, lakini pia jumla ya watu milioni 80 waliuliwa Wakati wa vita kuu ya pili ya dunia.

Idadi hiyo ilikuwa ni asilimia 3 ya jumla ya wakaazi wa dunia kwa kipindi hicho waliokadiriwa kufikia watu bilioni 2.3 na wakati wa mateso yaliyofanywa na Mnyama wa namba 666, jumla ya watu milioni 150 walipoteza maisha yao kwa sababu ya kutetea ukweli. Kwa sasa tunaambiwa dunia inakadiriwa kuwa na wakazi jumla ya bilioni 7 hadi mwaka 2021 ambapo wajenzi huru wanaona kuwa idadi hiyo ni kubwa sana kuweza kutawalika kirahisi na kwamba wengi wa wakazi wa dunia hii ni watumiaji tu ( consumers) na siyo wazalishaji ( producers) na ndiyo maana kuna uhaba wa chakula ,makazi bora, afya bora, na vita na machafuko yasiyo na mwisho ,hata hivyo si kweli kwamba wingi wa watu ndio unaosababisha machafuko na njaa bali kusudio lao kuu ni kupunguza idadi ya watu ikiwa ni njia mojawapo ya kumsaliti Mwenyezi mungu ambaye alishasema watu wazaliane kwa wingi ili kuijaza dunia.

images (4).jpeg
 
View attachment 2860165
Hadithi za wasabato ni kama za Mudy vituko vitupu
 
Unaanza kuboa sasa . At least ungekua unapost hata kila baada ya siku mara moja.

Si tunataka za kula kimasihara tu, JF should be fun and informative. Mtu akichoka na kazi akiingia JF anakuja ku refresh bana
 
Propaganda tu hizo.

Magufuli aliongea alichorithi kwa mababu zake. Kabila lake wanazaliana sana hawana tofauti na wapemba.

Sasa ulitegemea ataongea tofauti?
 
Back
Top Bottom