Abatmwe
Senior Member
- Dec 2, 2014
- 110
- 79
Wadau tupeane maujanja ya application muimu za android tunazoweza kuzitumia kwenye simu zetu ambazo hazipatikani kwenye Playstore, kwa kuanzia :
1- Kuna application inaitwa TVAPP , hii inakuwezesha kuangalia channel muimu kwenye simu kama BBC WORLD, CNN US NEWS, CNN WORLD, ESPN , NATIONAL GEOGRAPHY ... ii pia inaweza kutumika kwenye Iphone na Labtop
2- Kuna aaplication nyingine inaitwa FootyLight kwa wale wapenzi wa mpira , inakuwezesha kuangalia preview za mechi zote tu baada ya mpira kwisha
3- Kuna application inaitwa Football4us, inakuwezesha kuangalia mechi za premie Ligue live kabisa
4- Kuna application inaitwa OGWhatsapp, inakuweza kuweka whatsapp ya pili kwenye simu yako.
5- Nina zawadi ya application kuangalia SKY SPORTS ZOTE, BEIN zote inakuja, kaeni mkao wa kula
Kumbuka application zote izi hazipatikani kwenye PLAYSTORE, unaweza kuzipata kwa kuistall APTOIDE au 1Mobile Market aplication kwanza.