Kwa wale watumiaji simu za andriod

Abatmwe

Senior Member
Dec 2, 2014
110
79
Wadau tupeane maujanja ya application muimu za android tunazoweza kuzitumia kwenye simu zetu ambazo hazipatikani kwenye Playstore, kwa kuanzia :

1- Kuna application inaitwa TVAPP , hii inakuwezesha kuangalia channel muimu kwenye simu kama BBC WORLD, CNN US NEWS, CNN WORLD, ESPN , NATIONAL GEOGRAPHY ... ii pia inaweza kutumika kwenye Iphone na Labtop

2- Kuna aaplication nyingine inaitwa FootyLight kwa wale wapenzi wa mpira , inakuwezesha kuangalia preview za mechi zote tu baada ya mpira kwisha

3- Kuna application inaitwa Football4us, inakuwezesha kuangalia mechi za premie Ligue live kabisa

4- Kuna application inaitwa OGWhatsapp, inakuweza kuweka whatsapp ya pili kwenye simu yako.

5- Nina zawadi ya application kuangalia SKY SPORTS ZOTE, BEIN zote inakuja, kaeni mkao wa kula

Kumbuka application zote izi hazipatikani kwenye PLAYSTORE, unaweza kuzipata kwa kuistall APTOIDE au 1Mobile Market aplication kwanza.
 
Mi nina imani nilichokiandika ni cha kawaida sana na kina manufaa kwa watanzania
 
Umetisha kaka kwa hyo kwann mpaka udawnload hyo application ndo udawnload hizo apps
 
Umetisha kaka kwa hyo kwann mpaka udawnload hyo application ndo udawnload hizo apps

Izi application huwa hazipatikani kwenye play store kwasababu wadau wenyewe wanazipinga, ndo maana lazima uzipate uko APTOIDE
 
Ubaya wa simu TV ni recorded news, hauwezi kupata latest au live news kupitia Simu TV

umekula maharage ya wapi wewe!!?... simu tv ukiachia mbali recorded news ina LIVE TV za kibongo nne.
chanel 10,tbc1,mlimani tv na sibuka tv
 
Sababu gani kuharibu battery ya Simu na live streams ...na hio aptoid ni malware huwa inacollect ua personal data somehow
 
Back
Top Bottom