Kwa wale wasiogopa majini angalieni hizi picha za majini

Kwa Wakristo hakuna majini mazuri wala mabaya sisi kwetu tuliambiwa tutakuwa adui na nyoka milele!!! Hakuna njia ya kuyatimua mapepo nje ya jina la Yesu ukimaanisha! Hizo njia nyingine ni kupambanisha mapepo tu mwisho unamwachia mtu pepo la kumlinda!

Hakuna Mkristo wa dhehebu lolote atakayekubali urafiki na pepo lolote isipokuwa katika dhambi (kama Muislam kula kitimoto).

Nyoka na uzao wao walikwisha laaniwa na rafiki wa binadamu ni Malaika wa Mungu tu! Alafu ktk hizo picha kuna moja inaonyesha Malaika akiwa na jini labda kwa kufurahisha baraza lakini HAIWEZEKANI toka ile vita ya Shetani na malaika zake against Mungu chini ya Malaika wa vita Mikael!!


KWA YESU KILA GOTI LITAPIGWA!! HAKUNA JINA LOLOTE UNALOWEZA KUTAMKA MAPEPO YAKATIMKA ZAIDI YA JINA LA YESU WA NAZARETI!!!!
 
attachment.php




attachment.php
 

Attachments

  • misfits_devilsrai.jpg
    misfits_devilsrai.jpg
    33.4 KB · Views: 37,331
  • Jini.jpg
    Jini.jpg
    32.6 KB · Views: 37,320
Mkuu unahangaika sana, mara friimeson, mara majini mara hiki

not sure what you are trying to achieve

goodluck anyway
 
mbona ni picha tu za kufikirika tu hizo..nani aliwapiga picha kama sio dhahania tu hizo
anyway ahsante sheikh yahya hussein(the late) kwa kutupotezea muda wetu kusoma kazi za sanaa yako
 
MziziMkavu uliwapigaje picha hao majini?!?!?
Ntaka kuwaona hao majini wote uliotuwekea nakuwaelezea - najua kuna namna na nahisi inaweza chukua muda mrefu lakini nataka kuwaona, unanisaidiaje?
 
Last edited by a moderator:
Hivi mbona siku hizi am always reading the wrong threads? Haya bwana. Leo mie nitaota weeeeeeee. Siku ingine nittakoma. MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:


Mr me sina tatizo na kitabu chako ila ni kosa kubwa kwa Mungu ninaemwabudu mimi kwa mujibu wa Biblia au NENO ku-corrupt NENO ambavyo siyo halali kama ulivyofanya kwa kitabu cha 1wafalme 5:13-17 ambapo nukuu uliyoiandika haipo sio tu kwenye kitabu cha WAFALME bali kwenye Biblia yote hapana ushirika wa namna yeyote kati Mungu na majini wala roho zote chafu kutoka kuzimu.
beside kiwe namikono ya watu au miguu haijalishi NENO ni nyundo ivunjayo mawe vipande vipande [ikiwa ni pamoja na hayo mapepo]na pia NENO lasema; NENO la MSALABA kwa wao wanaopotea ni upuuzi bali sisi tunaokombolewa ni Nguvu ya Mungu.

Kaka kitabu chako cha biblia kimefanyiwa marekebisho mengi sana hivyo hata unavyoamini sivyo. Kama unataka kujifunza zaidi fungua link hii utafakari mwenyewe juu ya kitabu chako unachokiamini www.covertmessiah.com/ Ndo maana umeshauriwa kusoma usiamini vitu usivyovijua mpaka uwe na uhakika navyo soma pia yeremia 8:8.
 
Back
Top Bottom