JINI CLAUNECK;
Jini huyu ana Nguvu na Mamlaka juu ya Vitu na Utajiri,
Anaweza Kuvumbua Hazina iliyofichwa, kwa yeyote atakayeweka Mkataba nae,
Ana uwezo wa Kumzawadia Mtu Utajiri mkubwa kwani yeye anapendwa sana na Lucifer,
Ana uwezo wa kukuletea Pesa kutoka mbali,
Mtii naye atakutii!
Je unahitaji kuzungumza nae
kwann isiwekwe formerly kila mwenye interest ajifunze kma nnavo enda jifunza udereva
Sio kila kitu kinaweka formally mimi nasema jifunze kila kitu kwa kadiri ya uwezo wako lakini practice vile vyenye manufaa na visivyo na madhara, Mimi leo ukiniambia kuhusu dini za dunia hii hunidanganyi chochote, ukiniambia kuhusu uchawi wanga ulozi na majini bado huwezi kuniongopea unajua nikwanini kwasababu nilijifunza na somehow nikapractice
Shindwa katika jina la YESU KRISTO WA NAZAREZI ALIYE HAI MOTO WA MBINGU UKUCHOME NA UKUUNGUZE .
Baadhi ya majini wanafanana na Ccm
Je unajua Majini hawa wanafanya nini ukipata jibu nitakupa zawadi....................<wbr style="color: rgb(20, 24, 35); font-family: Helvetica, Arial, 'lucida grande', tahoma, verdana, arial, sans-serif; line-height: 18px;">.....
Ishu za majin zimekuwa za kusadikika sana kiasi mtu kma mie ambae sijawah kukutana na jini wala kumwona inakuwa ngumu kuamini
Hta hya maelezo ya mzizi mkavu naona kma riwaya nzuri ya kusisimua
Kma kweli wapo tupewe elimu mchana kweupe tuelewe kuwa nikitaka Mwita jini nafanya a b c d anakuja
JINI HEWA huyu huwa anakuja na upepo...................
Je unajua Majini hawa wanafanya nini ukipata jibu nitakupa zawadi....................<wbr style="color: rgb(20, 24, 35); font-family: Helvetica, Arial, 'lucida grande', tahoma, verdana, arial, sans-serif; line-height: 18px;">.....
Mimi najitolea kufanya hivyo lakini uwe tayari kwa masharti