Kwa wale wanandoa mnaoaana leo tu!!

Wanawake wanaoestrogen na ndiyo inayowafanya waonekane nyororo wakati wanaume wanaandrogen ambayo huzalishwa kwenye testes yaani pumbu, pumbu zinafanya kazi mpaka majogoo wakati wanawake wanapofika 40's estrogen hupungua na kwisha kabisa na ndiyo maana wanapofika umri huu ngozi hulegea tunasema kitalaam wankuwa kwenye penopause hii haiathiri ngozi tu pia inaathiri hata mifupa mara nyingi wanawake wanapata osteoporosis na ndiyo maana wanawake wengi uzeeni huvunjika kirahisi na hupona taratibu sana. Kwa hiyo factor alizotoa mtoa mada sidhani kama ni sahihi sana. Kwa ufupi naweza sema hivyo.
 
Nimewiwa kuuliza hili maana limekuwa kama kamchezo
hivi kama aunampenda kweli kwa nini usimweke wazi nina
mzigo home umetulia na watoto wa wawili kama unanipenda nipende nilivyo
hivi nyie wanawake mnahisi ndoa ni soln ya kutembea na waume za watu

nimeona jamaa wengi wamekuwa wakiwa wanatongoza mwanamke unashangaa
pete imewekwa kwenye gari ama mfukoni unajiuliza ule ni mkosi nini wa kutowapata??

Embu tulia kama unahisi haya mpaka unavua pete sasa kwa nini unamvulia uchi wako
bila kujiheshimu ndoa aziendi

jumamosi njema whatever u do dnt over do
 
Tukiwa tunaelekewakwenye kuazimisha miaka 50 basi si vyema tukumbuke
matukio kadhaa yaliowahi ama yanayoendeleea kutokea kwenye ndoa zetu
pengine ulishawahi kukumbwa na jambo la ajabu na kufanya mkorofishane na mwenzio
na leoo hii mko pamoja embu tugawiwe kidogo jamani si haba hii ni kwa wanandoa na wasio wanandoa
maana najua hao mlioachana nao wangekuwa wanandoa watarajiwa kwa sababu ya matukio ya dunia
umeshindwa kutimiza mawazo yako lakini si wakati wa kuktaa tamaa bado wako alietoka kwa mungu anaandaliwa uskimbilie wake za watu ama waume za watu ukahisi m sipendwi wacha udili na ndoa za watu utaumia ...

Embu ndugu zangu tupeni yaliojiri kwenye maisha yenu ya ndoa aijalishi mko nae ama lah

wito
matukio haya ni siri kati ya pdidy na jf naomba niwahahkikishie hili
 
Mwenzenu niwadokeze tu kabla ya kuoa niliweka ndani bibie akajua naoa sasa basi
alipojishahu zaidi akaanza kuniihjia amelewa sikujua kama anakunywa mbaya zaidi
akaanza kuleta marafiki zake aliosoma nao finland wanalewa whisky nyumbani kwangu
teeth teeeh hata kama ni kwakupangisha bado kwangu najua unajiuliza hilo
sasa basi tukaanza kuwashana moto chapana makofi ...hee asbh nikaanza kunywa chai nikona mwenzangu
kaamka asbh anaomba masmaha akaanza kunywa chai nilipo ilipofika nusu akanimwagia kifuani
huku nikiwa na uniform za kazini wapwa hili sitosahau na nilimweleza hata nilipohudhuria ndoa yake
nakuheshimu nimesamehe lakini sitosahau

hili cha mtoto tukayamaliza gafula wiki inayofwata akaenda finland sijuikwa bwana zake wa zamani kufanya check c/d anajua yeye hee mwaya napigiwa simu na usalama wa pdidy aise naona bibie anaenda nje huku narudi home fasta najua namuwahi mwenzangu weeeeeeeee....wacha nikamwambia unasema kuhakiki yamenikuta nilipopiga simu nkaambiwa "
namba unayopiga aipatikani tafadhali jaribu baadae""hii ya baadae ikanipa moyo labda amezima tu atawasha weeeeeee ndugu zanguni alikaa mwezi aliporudi nkamuulizaa unanidai hapana nkasubiri amerudi kazini nkaita canter nkabeba kilicho changu nikamwachia kitanda nikamwambia nakutakia kila la kheri

hii ni kwa wale waanaokimbilia mizogo kwa imani ya kibinadamu badala ya kumwambia mungu akupe wako alietoka kwake leo nakula raha na mke kutoka kwa mungu kwa kweli mmh 50 miaka haya ndio yalinikuta

wewe je usiogpe pengine matatizo yako yanawafumbua watu macho je haya matatzio yakinitokea na mie ni endelee kutulia nae ama nichape lapa mapema kazikwako ukiachika ni pm
 
hawana hata aibu, mwingine anakufuata na cheti cha ndoa na album ya harusi ili ujue fika kuwa nyumbani amepaki mke na watoto
 
I like dat eli
umeooonaa ila si tunaruhusiwa ya pili!!ame we eli wa ukweli si unajua majina ya jf eli kumbe rashid
 
Back
Top Bottom