Kwa wale mnaotumia simu kubrowse,msaada huu hapa ili uweze kuifaidi jf vizuri

dah nani kasema opera na ucweb huon full web? Ni just setting zako tu click menu then setting then angalia browser yako iko mobile format au web format then enjoy

hio bolt mtakoma inafuta text utafkiri ina kifutio cha china idownloadini mtakubaliana na mimi

bolt imekaa kama simu za kichina, haijui ku-save passwords, pia muonekano wake wa kichovu tu, Bora Uc Browser na Opera mini.
 
fungua Uc Browser yako,

select 'Menu'> 'Settings'> then select 'Preferences' > utaona choice imeandikwa 'Network User Agent' ukiichagua utapewa choice tatu 1.No, 2.Wap UA 3.Web UA... Chagua 'Web UA' then save setting.. Page zote zitakuwa katika format ya Web na sio Wap tena. Ukishindwa niPM.

nimekupata mkuu asanteh.
 
hey! Kwa yote mlioongea ila opera ni NOMA kuliko browsers zote! Ukitaka ufaidi vizuri tumiA OPERA MOBILE NA SIYO OPERA MINI, jaribu kudownload opera mobile uone tofauti!
 
nilishajaribu hizo takataka zote lakini hakuna bora kama opera...Opera is the best nendeni huko mtarudi Opera
 
ni nzuri cma maandishi yake madogo xana afu mbna nikitumia UC cm inazima yenyewe
 
Jama natumia nokia x2 imekuwa installed opera version 4 nataka version 6 ila nimeshidwa kuibadili msaada wakuu kwa mwenye maujanja.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom