mkuu imekubali.asante sana hata ile likes naona ipo.unaweza kutumia vikaragosi.tatizo niloliona ni kureply thread.wanakuambia umeandika maneno machache.sijui wanataka uandike gazeti!.lakini inaifunika pc mode ya jf.ngoja niendelee kusubili pc mode ya jf hapa bolt.mia
mkuu , je na kwenye tab inakubali
android on GalaxyTab
asante
huo utundu tunao sana tu, tatizo la Bolt, kwenye simu original hasa za Nokia zinatoa warning kwa kuwa Bolt haipo secured, na haijasajiwa kama browser salama. Pia Bolt haiwezi ku-upload picha na kubadili avatar, ukibadili Jf inakataa na kusema haipo secured so inabidi uweke password upya. Njia nzuri ni kutumia UC browser, nenda kwenye settings and badili 'WAP' iweke 'WEB' utaweza kufanya kila kitu. Pia Bolt ukitumia facebook marafiki wanaonyeshwa kuwa upo online. Tunachokitaka hapa ni JF PC MODE irudishwe. Kwa kutumia Opera ilikuwa imetulia sana na unaweza mpaka kubadili avatar.
Kwa wanaotaka kui-download Bolt Browser wafungue hapa:
www.boltbrowser.com

Thanks for invaluable information. Umetusaidia wengi mkuu! Tungekuwa na watu wenye msaada kama wewe nadhani JF ingekuwa chanzo kikuu cha mabadiliko Tanzania. Lakini wengi humu wamekalia umbea, udini na kushangilia vyama tu.

ila mkuu pamoja na mapungufu ya bolt uliainisha but ni tofauti na uc or opera, hii iko kama mozilla na chrome, unaweza kufungua double web application at the same eg yahoo na jf na haikulazimu kufunga one application ili ufungue nyingine, unachofanya ni ku add tu kwenye kale kaalama ka kujumlisha(+) unafungua new window for bowsing.
please naomba unisaidie alipo ulipo unaenda kweny setting unabadi wap kuwa web..mimi sijaelewa mkuu,maana kwangu hiyo bolt imegoma inakataa pin code