Poleni kwa kusubiria ripoti ya jana kutoka kwa mdodosaji, naombeni jukwaa nami niwasilishe hoja...
Kwa wale mliokosa mkopo ishu ni kwamba kwa majibu mepesi niliyopewa pale reception ni hivii mmekosa mikopo kwakuwa hamna vigezo na kama umekosa mkopo wakati upo kwenye priority group basi ujue bajeti imefika kikomo hivyo jaribu tena mwakani.
Kuhusu wale walioandikiwa previous lonees wameambiwa mnatakiwa mkalipie asilimia 25% ya mkopo mliotumia mlipokuwa chuoni.... MAJIBU HAYA HAYAKUWA NA SWALI WALA HOJA HIVYO SUALA LILILOFUATA HAPO NI KUTOLEWA NJE NA ASKARI. mdodosaji sikukubali majibu haya ndipo nilipoingia ndani ya ofisi kwa mara ya pili huku nikiwa na sura nyingine yaani sura ya hasira nikitaka kujua zaidi kuhusu maswali yangu jamaa walinivutia pembeni na kuniambia : Dogo tulia majina yanaendelea kutoka hii iliyotoka ni first allocation bado tunaendelea kutoa allocation zipo second hadi third allocation punguza jazba ila kama huna neno priority tusilaumiane sawa dogo.: Mdodosaji niliishia hapo, kwa wale wa mikoani kama umejiandaa kuja huku mjini ningekuomba angalau usubirie hadi tarehe 25/09/2012 maana kuna dodoso zinasema kuwa majina ya second allocation yatatolewa tena. asantei. mjumbe hafungwi.