Kwa wale mliokosa mkopo na previous lonees soma hapa kutoka kwa mdodosaji...

MKINDE

Member
Aug 16, 2012
43
45
Poleni kwa kusubiria ripoti ya jana kutoka kwa mdodosaji, naombeni jukwaa nami niwasilishe hoja...
Kwa wale mliokosa mkopo ishu ni kwamba kwa majibu mepesi niliyopewa pale reception ni hivii mmekosa mikopo kwakuwa hamna vigezo na kama umekosa mkopo wakati upo kwenye priority group basi ujue bajeti imefika kikomo hivyo jaribu tena mwakani.
Kuhusu wale walioandikiwa previous lonees wameambiwa mnatakiwa mkalipie asilimia 25% ya mkopo mliotumia mlipokuwa chuoni.... MAJIBU HAYA HAYAKUWA NA SWALI WALA HOJA HIVYO SUALA LILILOFUATA HAPO NI KUTOLEWA NJE NA ASKARI. mdodosaji sikukubali majibu haya ndipo nilipoingia ndani ya ofisi kwa mara ya pili huku nikiwa na sura nyingine yaani sura ya hasira nikitaka kujua zaidi kuhusu maswali yangu jamaa walinivutia pembeni na kuniambia : Dogo tulia majina yanaendelea kutoka hii iliyotoka ni first allocation bado tunaendelea kutoa allocation zipo second hadi third allocation punguza jazba ila kama huna neno priority tusilaumiane sawa dogo.: Mdodosaji niliishia hapo, kwa wale wa mikoani kama umejiandaa kuja huku mjini ningekuomba angalau usubirie hadi tarehe 25/09/2012 maana kuna dodoso zinasema kuwa majina ya second allocation yatatolewa tena. asantei. mjumbe hafungwi.
 
Thanx mkuu,,maaana me ni education na nimekosa jamni au kwa vile ni equivalet,,hivi kuna wa equivalet waliokosa mkopo,,,
 
I thought something bad had happened to you.Thanx you are back again. Good job. Be blessed, but isingekuwa vibaya kama ungeweka hizi news kwenye ile thread ulioanzisha jana au unataka usomeke kuwa ni muanzishaji mzuri wa thread? Samahani lakini kama ntakukwaza haya ni maoni yangu.
 
Vp na wale ambao majina yao yalitolewa kwenye orodha ya fomu zenye kasoro na kurekebisha lkn hakuna hata mmoja amepata kati ya wale wanaorodha?
 
Kaka naomba nibp kwa 0718008044,nina mawil matatu ya kujua toka kwako kaka!samahan lkn,
 
Kaka naomba nibp kwa 0718008044,nina mawil matatu ya kujua toka kwako kaka!samahan lkn,nlpata info kuwa et wale wa previous loanees system haiko applicable vp khs hil?
 
mbona kama idadi waliyotoa mwanzo ya watu watakaopewa mkopo ndo hii idadi ya majina haya yaliyotoka,au hiyo second and third allocation wanatoaje,naona kama unanipa moyo bure
 
kwa wale mlioniomba niwabip pamoja na wengine ambao wangetaka mawasiliano nami please haitowezekana kutokana hali ya kiusalama zaidi ila maswali yenu yote nitajibu msihofu kuhusu hili swali namba moja
1. nlpata info kuwa et wale wa previous loanees system haiko applicable vp khs hil? SIO KWELI system ipo vizuri tu fuata yale masharti nenda kalipe deni 25% ya mkopo uliopewa utaendelea kupata mkopo bila shida yoyote. kuhusu ili swali la pili
2. mbona kama idadi waliyotoa mwanzo ya watu watakaopewa mkopo ndo hii idadi ya majina haya yaliyotoka? NAOMBA tembelea vizuri Welcome to HESLB utapata ufafanuzi zaidi ILA kama utakubaliana nami ni kwamba majina bado yanaendelea kutolewa subiri hadi tarehe 25/09/2012 baada ya hapo nitakupa ufafanuzi
 
Je hawa previous loanee,majna yao yamo kwenye hyo orodha ya majna yote?kwenye ile orodha ya prev loanee kuna majna kibao ya wa2 waliomba kwa mara ya kwanza na yatma.vp khs hl kaka?
 
tunashukuru kwa taarifa kaka pole kwa hayo yalokukuta ila ndo tz hii;shukran tunasubiri
 
Je hawa previous loanee,majna yao yamo kwenye hyo orodha ya majna yote?kwenye ile orodha ya prev loanee kuna majna kibao ya wa2 waliomba kwa mara ya kwanza na yatma.vp khs hl kaka?
kama una neno priority mkopo unao tusubiri tarehe 25/09/2012 hivi karibuni nitadodosa zaidi kuhusu hili swali lako
 
Vp na wale ambao majina yao yalitolewa kwenye orodha ya fomu zenye kasoro na kurekebisha lkn hakuna hata mmoja amepata kati ya wale wanaorodha?

helo, mm nilikuwa miongön mwa wale waliokuwa na single problem nikafanya marekebisho wamenipa 3882500 pia kuna mwingine namfaham kapewa
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom