DZUDZUKU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2012
- 3,907
- 2,094
Nataka mipaina ya sao-hills
Unashida na mipaina au unashida na mipaina ya Sao-hills?
Nataka mipaina ya sao-hills
Unashida na mipaina au unashida na mipaina ya Sao-hills?
mawazo kibao sawa na tamthilia ya kusadikika...
Kuwa na magari na majumba yasiyohesabika...
Niweze kuishi maisha ya Iringa kama niko Amerika...
Sababu nina mkwanja ningemuoa mtoto wa Malaika...
ningefanya uhalifu polisi nao wasingenishika...
Kunako mahakama mshiko wangu ungetumika...
Ningechora tatoo kichwani nywele ningesuka............................................:....................:..............lakini yote hii ni kama...kama