Kwa wadada tu: Online dating, karibuni tusongeshe....!

Weweee! Sasa kwa nini udanganye kuwa unaenda kazini? We kama unajua kabisa unayoenda kufanya ni mambo ya KIMALAIKA kwanini udanganye?
mwaJ, mbona unakuwa kama hukuzaliwa Tanga? Mila hujui, hata Mizungu pia hujui?
 
Last edited by a moderator:
haswaaa sasa leo mtoko wapi?

Duh, Ciello, hilo pozi nitasalimikam kweli....................

Evelyn-Instagram.jpg


Haya mie niko hapa nje nakusubiri, twen zetu Morogoro, tukajifiche NASHERA HOTEL

images
 
Last edited by a moderator:
mwaJ toka zamani sana najuaga we ni kambi ya Mtambuzi basi tu sina uwezo wa kukufire for GOOD!sasa hapa umemsikia nini huyu papito? King'asti njoo uone huku mamako alivo na wapinzani na huku mdogo wako bado mdogo

Shosti usinisingizie! Mie siko kambi ya Mtambuzi na yeye anajua kabisa. Tena anajua kabisa wanoko wake ni kina nani. Mie ni wa kambi yako na Madame B
 
Last edited by a moderator:
wow! siamin giv m 5mints nimalizie kujipiga unyunyu ,ila nashera hotel no. Wasije wakatumalima lol
Ciello we hunijui naona!manake toka asubuhi nakuonya na huyu mzee husikii,sasa ndo mmeshapanga na hoteli kabisa!:target::target::A S angry::fencing::target::target::fencing::fencing:
 
Last edited by a moderator:
Shosti usinisingizie! Mie siko kambi ya Mtambuzi na yeye anajua kabisa. Tena anajua kabisa wanoko wake ni kina nani. Mie ni wa kambi yako na Madame B

unaona sasa tumezembea na kuwachekea Mtambuzi na Ciello haooooooo wanaenda NAMNANI GUEST HOUSE,aahahahhahah madai yake anampeleka NASHERA HOTEL thubuuuuuuuuuutuh!aaanza tu!kwaza kidate chenyewe cha jana usiku alimpiga mkwara kabisa eti aagize soda na juice!leo hela ya kumpeleka NASHERA aitoe wapi!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom