Kwa wadada tu: Online dating, karibuni tusongeshe....!

mwaJ shosti kibabu noma hiki usikiapie hivo!oh shaurilo!anaweza kukurushia kitu chenye ncha kali oh

Yaani ungejua ninavyocheka hapa! Kama namuona vile roho ilivyomuuma! Huwa anajifanya mjanja sana sasa Ciello kampatia. Halafu badala a deal na Ciello ananijia mie juu eti ataniendea Handeni! Lol!
 
Back
Top Bottom