Kwa wadada tu: Online dating, karibuni tusongeshe....!

Mtambuzi

Platinum Member
Oct 29, 2008
8,810
15,393
man_in_bed_on_computer.jpg


Haya yule aliyekosa mtoko ajitokeze tusongeshe....................




Shhhh..... mama Ngina kalala.>>>>>>>LOL
 
Mbona kimya jamani au mmelala...............
Duh, ama kweli ngoma ya watoto haikeshi, yaani chit chart ndio imepooza hivi..
 
Leta habari bibie, unajua nilikuwa nakuonaga hapa JF tangu zamaaani sana, sema tu nilikuwa sijapataga wakati muafaka wa kutiririka...
Sijui umenielewaa.......LOL
 
Cello twende zetu gardenbistro achana nae mkaa ndani huyo.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom