mtotowamjini
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 4,526
- 1,169
aisee huwezi cheza na feelings za mtu. kuna mtu akipenda anakua kama vile amechanganyikiwa...penzi ni emotions na feelings kuna mtu anapenda kiasi kwamba asipokuona siku nzima anaweza kushikwa na ugonjwa...hizo ideas zako hazitafanya kazi kwa watu wa namna hii