Kwa wadada hasa walio single

aisee huwezi cheza na feelings za mtu. kuna mtu akipenda anakua kama vile amechanganyikiwa...penzi ni emotions na feelings kuna mtu anapenda kiasi kwamba asipokuona siku nzima anaweza kushikwa na ugonjwa...hizo ideas zako hazitafanya kazi kwa watu wa namna hii
 
Hahaha Mentor mwanzo ilikua tu additional points, now nihuk up weekend au ni practical nini? Hahahah

Babe, kwanini nitumie mate na wino upo? as long as kuna posibility hiyo ya kuongea na kwa ana why not kill two birds with one stone!??
Usiwe na hofu juu ya usalama wako au nia yangu..babu Asprin atakuwepo kusimamia suala hilo.
 
Last edited by a moderator:
Babe, kwanini nitumie mate na wino upo? as long as kuna posibility hiyo ya kuongea na kwa ana why not kill two birds with one stone!??
Usiwe na hofu juu ya usalama wako au nia yangu..babu Asprin atakuwepo kusimamia suala hilo.
Teh teh haya usijali but nawasiwasi hatuko sehemu moja, na je babu Asprin anaaminika?
 
Babe, kwanini nitumie mate na wino upo? as long as kuna posibility hiyo ya kuongea na kwa ana why not kill two birds with one stone!??
Usiwe na hofu juu ya usalama wako au nia yangu..babu Asprin atakuwepo kusimamia suala hilo.
:fish2:

Teh teh haya usijali but nawasiwasi hatuko sehemu moja, na je babu Asprin anaaminika?
Naaminika mpendwa babe S, ndio maana Mentor kakuelekeza kwangu. Wife kanihifadhi hapa waweza kuja nikakuonyesha uaminifu wangu?

attachment.php

Hahahah...babu njoo ujijibie! Asprin.
babe S, nipe location mbona bongo ndogo mno!??
Nshamjibu na location nshampa. Ahsante kwa kunikumbuka kwenye mambo muhimu.
 
Last edited by a moderator:
Habarini za asubuhi wana jamvi... hope mko pouwa... leo nimekutana na hii nikaona nisiwe mchoyo nije kushare na wenzangu hapa......

Kuna kitu kinaitwa mvuto. Yaani hata kama mtu unampenda sana usitake
kumuonyesha kuwa unampenda saana na huwezi ishi bila yeye. Mjali, ongea naye vizuri, msikilize, lakini linapokuja suala hukubaliani nae, mwambie wazi wazi tena straight. Mwonyeshe kuwa uko focused zaidi na maisha, sio na yeye. Usipende kubip bip au kupiga kila saa. Sometimes akikupigia mpotezee, then unakuja kupiga masaa kadhaa baadae, unamwambia kuwa ulikuwa bize na shughuli fulani ya maana, so hukuona call yake. Au unaweza kupokea then, ukamwambia kuwa, sory, kuna kitu cha muhimu nafanya hapa, nitakupigia baadae, I love you, bye.. Ukifanya hivi utajenga mvuto fulani na kila saa atakuwa anakuona mtu wa maana na focused na maisha, na atatamani kuwa na wewe. Atakuona kama mtu ambaye uko siriaz na unaweza kutunza familia ikitokea,
Lakini kama unampenda mtu alafu kila saa unataka kuongea naye, kila saa kuwa naye, kila saa unaongelea I miss you, I love you.. atakuchoka na kukuona huna maana. Automatically atakuona cheap na low grade na atakuacha. Hapa sijamaanisha kuwa mvuto, ndo basi umchunie siku mbili au tatu hujampigia, la, ila ikibidi umpigie, au unataka kusikia sauti yake, piga alafu jifanye unaulizia jambo la muhimu. Kwa mfano piga msalimie, mwambie nimekumiss alaf mwambie nilitaka unishauri labda mtu aliyemaliza form four hajapata shule, kipi cha maana kati ya secretarial na hotel management course. Akikuuliza vipi, mwambie kuna mdogo wangu nilitaka nimtafutie chuo hapa.
Jambo jingine ni kuwa usitake kwenda kwake bila sababu. Kwa mfano mwambie kuwa kama uko home, nitakuja mara moja kukuletea zawadi yako then nitaondoka maana nataka kwenda so and so, ukitaja hata sehemu za ukweli. Hii itamfanya akuone kuwa unamjali, alafu pia uko bize. Lakini kama unataka kumuonyesha kuwa uko bize, usijisahau ukamwonyesha uko bize na mambo yanayowashirikisha sana wanaume, bali mambo ya kijamii na kielimu. Kama wewe ni mfanya kazi mwonyeshe kuwa kazini kwako uko bize na unathaminiwa. Mwonyeshe kuwa mara nyingi una homework. Katika hali kama hiyo mwache yeye ndiyo apropose kwenda out, na usikatae, bali mwambie kuwa japo nina vijishughuli vya muhimu hapa, then nitakwenda kwa sababu nakujali wewe.

Usitake kumuonyesha kuwa unapenda starehe, bali usijionyeshe kuwa anti-social. Hata kama unapenda kujirusha, lakini siku zote onyesha kuwa unajirusha tu kwa sababu yake, na ukiwa mwenyewe au na watu wengine hauenjoy. Siku zote omba msaada wa mawazo kwake, na epuka kuomba msaada wa pesa mara kwa mara a.k.a mizinga ya vocha . Hakikisha kuwa akikupa elfu 10, basi 2 zinarudi kwake kwa njia ya zawadi au kulipia bill. Sometimes jifanye kuwa una shida kubwa ya hela kiasi fulani, na akikupa, nenda kamnunulie zawadi, tena ikiwezekana ongeza na ya kwako, alafu unamwambia kuwa nilikuomba ile hela kwa sababu niliona hiki kitu fulani nikatamani uwe nacho lakini sikuwa na hela ya kutosha. Hii itamfanya aone kuwa unamjali.

All in all, kumpenda mtu kusimfanye akuone mzigo au kero, bali kuwa na mvuto fulani wa kutaka kukuona kila saa.

Wadada mpoooooooo!!!!!!!!! ASUBUHI NJEMA



Tatizo linakuja pale unajifanya biye alafv out put hazioni mfano bize wa masomo alafu sup kibao we unafikili atahisi ni zaidi ya kuona ukikuwa bize na umalaya.
 
kweli tena .mimi huwa full kujiachia watu wanatofautiana kitabia mi nikikuta missed call yake huwa najilaumu naona nimemic kitu cha thamani kwanza kitendo cha yeye kuinua cm na kunipigia mimi na labda si mwingine kwanza huwezi jua ana ujumbe gani .ni vizuri kufunguka kufichaficha vitu kama mwenendo wako si vizuri

mi pia nikikuta mic call nadata ile mbaya
 
huyo jamaa ameshindwa hata kutengeneza mbinu ya kumuacha m2, hata mm kaniboa ila ucjali huwezi jua Mungu amekuandalia nn!
 
12 Reactions
Reply
Back
Top Bottom