Kwa Umafia huu mkubwa wa FA ya Mbeya, Ihefu FC wakisaidiwa na Watu wa Simba SC 'Unbeaten Record' ingeisha tu leo

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,742
109,182
Kwa Kawaida Makomandoo wa Yanga SC na hasa Mganga wao Hatari hupenda Kutangulia (Kuwahi) Mkoa ambao Yanga SC inacheza kisha wanaanza Kuufanyia Umafia na Uchawi (Ndumba) Uwanja ambao Utachezewa.

Hivyo basi baada ya FA ya Mkoa wa Mbeya (hasa Kiongozi wao Mmoja mwana Simba SC) Kugundua Janja ya Yanga SC (hasa Kiushirikina) kwa kuamini Mechi itachezewa Uwanja wa Sokoine haraka sana Mkakati mpya ulisukwa kwa Kushirikiana na Viongozi wa Ihefu FC na wale wa Simba SC ambao umefanikiwa kwa 100%

Wakiwa Wasiri kabisa FA ya Mbeya walijua kuwa Mechi haitocheza Sokoine ambako Yanga SC waliamini ungechezewa hapo hivyo kama Kawaida yao wakaanza Kuroga pasipokujua kuwa Wanaroga mahala ambako Mechi haitochezwa.

Huku Wao Yanga SC wakiroga Uwanja wa Sokoine wenzao wa Ihefu FC kwa Kushirikiana na K? Watu (Mafia) wa Simba SC (Walioko Kazini sasa kwa Michezo Michafu ili Kuipunguza Kasi Yanga SC) nao (Ihefu FC) wakawa Wanauroga vilivyo Uwanja wa Highland Estate ambao umechezewa huo Mchezo leo.

Baada ya Mkakati huu Kukamilika iliwabidi Ihefu FC na Viongozi wa FA ya Mbeya kwa Kusaidiwa na Mafia wa Simba SC ilitafutwa Mbinu mpya ya Kuwamaliza Yanga SC Kisaikolojia kwa kulenga kile Kitu ambacho huwa kinawapa Nguvu ambacho ni Matumizi ya Jezi yao Nyeusi iliyofanyiwa Ndumba Kali na Mganga wao Hatari na Kulazimisha iwe inavaliwa hiyo hiyo tu kwani nyinginezo hasa ya Njano waliyoivaa Leo ina Nuksi na hawaipendi ila hawana jinsi.

Na kweli mapema kabisa Jana Mchana Yanga SC (bila ya Kutegemea) waliambiwa na FA ya Mbeya kuwa Mechi yao ya leo dhidi ya Ihefu FC itachezewa Uwanja wa Highland Estate na siyo Sokoine ambako ndiko walikuwa Wameroga sana (tena kwa Kukufuru kabisa) hali iliyowavunja kabisa Nguvu na Kuchanganyikiwa na inasemekana hata Mganga wao (Yanga SC) alishawaambia kuwa Mechi ya leo 95% wanafungwa na 5% ndiyo za Kushinda au kutoka Sare.

Baada ya FA ya Mbeya jana Kuwamaliza Yanga SC juu ya Uwanja utakaotumika leo Asubuhi Taarifa ikatoka TFF kwenda FA ya Mbeya kuwataka Yanga SC wasiitumie Jezi yao Nyeusi (ambayo Yanga SC ndiyo wanaiamini kuwa ina Bahati Kwao na Mganga wao ameshaifanyia Ndumba sana) na Kuzingatia Kanuni za Ligi hali ambayo iliwashtua zaidi Yanga SC na kujua kuwa leo wamepatikana na kuingia Mtegoni ambako wakaishia kupata Kipigo kutoka kwa Timu dhaifu ya Ihefu FC.

Kipigo leo kilikuwa hakiepukiki kabisa.

Cc: Fundi mahiri wa ujenzi
 
Ni sheria gani hiyo shirika la mpira inalazimisha timu kuvaa/kutokuvaa jezi fulani, em nipe sababu ya msingi ya TFF kuwaambia Yanga wasivae jezi flani.!
 
Hii habari kama ya kuzimu vile dah ila ndo soka letu
 
Kwa Kawaida Makomandoo wa Yanga SC na hasa Mganga wao Hatari hupenda Kutangulia (Kuwahi) Mkoa ambao Yanga SC inacheza kisha wanaanza Kuufanyia Umafia na Uchawi (Ndumba) Uwanja ambao Utachezewa.
Ndio maana ukiwa yanga lazima uwe mchawi.

Asilimia 60 ya wapenzi wa utopolo ni waganga wa kienyeji,waliobaki 39.9 ni eidha wake zao ama wateja wao.
 
Ni sheria gani hiyo shirika la mpira inalazimisha timu kuvaa/kutokuvaa jezi fulani, em nipe sababu ya msingi ya TFF kuwaambia Yanga wasivae jezi flani.!
Unamsikiliza huyo jamaa kweli? Ni muongo, Mbeya na mfitini sana. Amejaa imani za kusadikika tu. Kifupi katika maandiko yake huwa hajui anataka nini.
 
Kwa Kawaida Makomandoo wa Yanga SC na hasa Mganga wao Hatari hupenda Kutangulia (Kuwahi) Mkoa ambao Yanga SC inacheza kisha wanaanza Kuufanyia Umafia na Uchawi (Ndumba) Uwanja ambao Utachezewa.

Hivyo basi baada ya FA ya Mkoa wa Mbeya (hasa Kiongozi wao Mmoja mwana Simba SC) Kugundua Janja ya Yanga SC (hasa Kiushirikina) kwa kuamini Mechi itachezewa Uwanja wa Sokoine haraka sana Mkakati mpya ulisukwa kwa Kushirikiana na Viongozi wa Ihefu FC na wale wa Simba SC ambao umefanikiwa kwa 100%

Wakiwa Wasiri kabisa FA ya Mbeya walijua kuwa Mechi haitocheza Sokoine ambako Yanga SC waliamini ungechezewa hapo hivyo kama Kawaida yao wakaanza Kuroga pasipokujua kuwa Wanaroga mahala ambako Mechi haitochezwa.

Huku Wao Yanga SC wakiroga Uwanja wa Sokoine wenzao wa Ihefu FC kwa Kushirikiana na K? Watu (Mafia) wa Simba SC (Walioko Kazini sasa kwa Michezo Michafu ili Kuipunguza Kasi Yanga SC) nao (Ihefu FC) wakawa Wanauroga vilivyo Uwanja wa Highland Estate ambao umechezewa huo Mchezo leo.

Baada ya Mkakati huu Kukamilika iliwabidi Ihefu FC na Viongozi wa FA ya Mbeya kwa Kusaidiwa na Mafia wa Simba SC ilitafutwa Mbinu mpya ya Kuwamaliza Yanga SC Kisaikolojia kwa kulenga kile Kitu ambacho huwa kinawapa Nguvu ambacho ni Matumizi ya Jezi yao Nyeusi iliyofanyiwa Ndumba Kali na Mganga wao Hatari na Kulazimisha iwe inavaliwa hiyo hiyo tu kwani nyinginezo hasa ya Njano waliyoivaa Leo ina Nuksi na hawaipendi ila hawana jinsi.

Na kweli mapema kabisa Jana Mchana Yanga SC (bila ya Kutegemea) waliambiwa na FA ya Mbeya kuwa Mechi yao ya leo dhidi ya Ihefu FC itachezewa Uwanja wa Highland Estate na siyo Sokoine ambako ndiko walikuwa Wameroga sana (tena kwa Kukufuru kabisa) hali iliyowavunja kabisa Nguvu na Kuchanganyikiwa na inasemekana hata Mganga wao (Yanga SC) alishawaambia kuwa Mechi ya leo 95% wanafungwa na 5% ndiyo za Kushinda au kutoka Sare.

Baada ya FA ya Mbeya jana Kuwamaliza Yanga SC juu ya Uwanja utakaotumika leo Asubuhi Taarifa ikatoka TFF kwenda FA ya Mbeya kuwataka Yanga SC wasiitumie Jezi yao Nyeusi (ambayo Yanga SC ndiyo wanaiamini kuwa ina Bahati Kwao na Mganga wao ameshaifanyia Ndumba sana) na Kuzingatia Kanuni za Ligi hali ambayo iliwashtua zaidi Yanga SC na kujua kuwa leo wamepatikana na kuingia Mtegoni ambako wakaishia kupata Kipigo kutoka kwa Timu dhaifu ya Ihefu FC.

Kipigo leo kilikuwa hakiepukiki kabisa.

Cc: Fundi mahiri wa ujenzi
Wewe ni mmoja wa wanaotuharibia soka kwa threads zisizo na nantiki. Kifupi, wewe ni muongo, mbeya na mfitini uliyejaa imani za kusadikika. Unastahili kufungiwa kutojihusisha na chochote kihusucho soka letu.
 
Mbeya huwa pagumu sana kwa Simba na Yanga
 
Wewe ni mmoja wa wanaotuharibia soka kwa threads zisizo na nantiki. Kifupi, wewe ni muongo, mbeya na mfitini uliyejaa imani za kusadikika. Unastahili kufungiwa kutojihusisha na chochote kihusucho soka letu.
Na Kukubandua / Kukuweka pia kila mara na kwenyewe natakiwa nizuiwe / nifungiwe au?
 
... Huku Wao Yanga SC wakiroga Uwanja wa Sokoine wenzao wa Ihefu FC kwa Kushirikiana na K? Watu (Mafia) wa Simba SC (Walioko Kazini sasa kwa Michezo Michafu ili Kuipunguza Kasi Yanga SC) nao (Ihefu FC) wakawa Wanauroga vilivyo Uwanja wa Highland Estate ambao umechezewa huo Mchezo leo.
... Taarifa ikatoka TFF kwenda FA ya Mbeya kuwataka Yanga SC wasiitumie Jezi yao Nyeusi (ambayo Yanga SC ndiyo wanaiamini kuwa ina Bahati Kwao na Mganga wao ameshaifanyia Ndumba sana)
Kipigo leo kilikuwa hakiepukiki kabisa.

Wakati huo huo, uliandika hivi:

Huenda leo Mshambuliaji wa Yanga SC Fiston Kalala Mayele akaondoka na Mipira Mitatu kwa Kufunga Goli Tisa ( 9 ) peke yake pale Yanga SC itakapomenyana na Ihefu FC iliyo mbovu ( ndembendembe ) kabisa katika NBC Premier League. Tunaochukia Mayele Kufunga na Kutetema huenda leo tukanuna ( tukawa na Usununu ) mno kwani kwa jinsi Mayele alivyo wa Moto ( kwenye Fomu ) yake sasa iwe isiwe leo atafunga peke yake ama Goli 3 au 6 au hata 9 Mguuni mwake. TFF waandae Mipira mingi sana leo!!!
 
Huyo jamaa huwa hajui alitakalo katika maandishi yake hapa. Mimi nilishampuuza, ila siachi kujibu threads zake ili kuondoa upotoshaji wake. Ananitukana atakavyo, lakini sijali.
Unayempuuza unaweza 24/7 ukawa Unamfuatilia na mpaka Kumsoma hapa JamiiForums?

Pumbavu.
 
Back
Top Bottom