Maandamano yakifanywa na Chadema ni fujo, lakini yakifanywa na CCM kumpongeza Samia kwa kuzuia maandamano ya Chadema hiyo ni demokrasia. Mpuuzi mmoja anakwambia Chadema imepoteza mvuto wakati ni chama pekee tishio kwa chama cha mafisadi.Sasa mnapanick nini .....!!? Tuacheni tufanye Maandamano yetu muone.