Usher-smith MD
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 9,504
- 12,176
Ukifeli post internship unafanya supEbu nipe ufafanuzi. Ukifeli pre internship inakuwaje na ukifeli post internship inakuwa vipi. Nimeuliza kwa sababu ndo nimeanza kuzipanda ngazi kaka. Ufafanuzi wako ni muhimu.
Sent from my Infinix X688C using JamiiForums mobile app