Kwa nn baadhi ya wanawake wakipata pesa zaidi ya mumewe..........

Ni uswahili tu.. wanawake wenye tabia za kiswahili swahili kaa nao mbali kabisa
 
Hivi hana wazazi huyo dada, kwani kwao hupajui? sikia,nenda kwa wazazi wake uwaambie kichacho endele ili waweze muweka chini maana mpaka hapo ina onyesha kabisa kua hawezi kukusikiliza wala kuku heshimu. baada ya hilo aipo badilika basi chukua hatua yoyote unayo ona inafaa

Wazazi ndo wanaweza mbadili tabia? Thubutu huyo kesha ota mapembe si amakula ya mbuzi
 
Dah sasa huyo atakuwa ana majivuno, alafu usipo mshikisha adabu mwanamke anakukalia kichwani kama hivi
Inasikitisha kwamba mpaka sasa hivi kuna wanaume bado hawafahamu mgawanyo rasmi wa wanawake kwa wanaume inapaswa Mwanaume atleast uwe na wanawake wanne, ila kwa sababu za kiuchumi ni lazima uwe na wawili hili halina mjadala, sasa sometime nadhani ni kutumia kanuni za Madj tu, one beat after another.
 
Dah sasa huyo atakuwa ana majivuno, alafu usipo mshikisha adabu mwanamke anakukalia kichwani kama hivi

fidel80, mimi mwenyewe ni mwanamke, na hizo sifa nimekutajia hapo ni very tru! yaani kwa kifupi kwenye kupata pesa bila kutarajia, both wanaume na wanawake huwa wanachange sana, majority na si wote!
 
Inasikitisha kwamba mpaka sasa hivi kuna wanaume bado hawafahamu mgawanyo rasmi wa wanawake kwa wanaume inapaswa Mwanaume atleast uwe na wanawake wanne, ila kwa sababu za kiuchumi ni lazima uwe na wawili hili halina mjadala, sasa sometime nadhani ni kutumia kanuni za Madj tu, one beat after another.

na maradhi haya, haya au???
 
Ni uswahili tu.. wanawake wenye tabia za kiswahili swahili kaa nao mbali kabisa

i realy agree wit u, EXPOSURE REALY MATTERS! watoto wangu kwenda kwa bibi yao dec ni must, huwa nasave mara moja moja nafly nao, achana na magari hayo nimejitahidi! exposure, exposure na shule, very very IMPORTANT! INASAIDIA SANA KUONDOA TONGOTONGO!
 
Hope ....hii ni dalili kuwa tangu awali hawa walikuwa na maisha artificial....yaaani mke na mume kuwa kama wapenzi tu wa kupitisha muda......Yaonekana kama walikuwa wanaishi kishkaji to an extent mume kusahau kuwa yeye ndo rule maker na enforcer matokeo ndo kama haya sasa bi dada kalelewa hivyo na huyo mume na amekuwa gwiji sasa analaumiwa!!!!!

Lait angejua aina ya mume aliyenaye tangu mwanzo.....wala asingefanya upuuuzi huu wa sasa
Alimsoma na kumjua mumewe na sasa anatumia ujuzi wake

Yani hawa na maisha yao utadhani under eighteen.Mungu awasaidie wasije ishia kuuana na lile gonjwa letu
 
pole aisee...
hv unajua utahusika kuurejesha?... chukua hatua akupe hela mfanye mlivokuwa mmekubalana kama hataki ...piga chini wanawake tupo wengi bwana ....

.........nimeipenda hii!
 
Huyu mwanamke ana matatizo binafsi ..Mkopo ndo unamfanya abadilike
Mie nikajua amepata Bingo ya mabilioni ya pesa ...
 
fidel80, mimi mwenyewe ni mwanamke, na hizo sifa nimekutajia hapo ni very tru! yaani kwa kifupi kwenye kupata pesa bila kutarajia, both wanaume na wanawake huwa wanachange sana, majority na si wote!

Sawa sio wote wanao change sasa inategemea wewe mwanamke au mwanaume una handle vp haya mabadiliko ukiyaacha yakue kama donda ndugu yanakuwa makubwa kama ya huyu ndugu yetu hapa mwanamke huyo atakuwa na adabu akifilisika.
 
hii ndoa inamapungufu haswa tokea mwanzo inaonekana haukuwa makini maana mwanamke hata maandiko ya vitabu vitakatifu hawakupewa kipaumbele ndio maana akili huwa kama kuna malaika wa zamu anawashikia akiamua apunguze utashangaa hata jana ulimnunulia gari akakusali hivi hivi. kuna mkuu wa kituo alipata pressure baada ya kumnunulia mwanamke gari na kumjengea nyumba ndani ya wiki tu alikuwa yuko nje ya penzi
 
Habari wapendwa wa JF,nimekaa nikafikiria sana hili swala nikaona boara niliweke jamvini tupeane mchango.Unakuta umeoa na mwanamke alikuwa anakutegemea kwa kila kitu ingawa kuwa nae anafanyaka kazi,mmeendelea na maisha ya kila siku lakini ikaja ikatokea kuwa mwanamke akapata mkopo ofisini kwao ambao ukiulinganisha na ile niliyokuwa nampatia kiukweli mkopo ni mkubwa kiasi chake,sasa kinachokuja hapa ni kwamba "BAADA YA KUPATA MKOPO AMEKUWA MTU WA NYODO,JEURI,MANENO YA KASHFA NA MAJIVUNO",hata nikisema nimuulize lolote atanijibu kwa mkato......na mbaya zaidi sasa hivi tunaishi kama kaka na dada............,na mara ya kwanza alikuwa nawahi sana kurudi nyumbani lakini baada ya hiyo pesa kurudi kwake nyumbani ni saa 3 usiku?......Naomba wana JF mniambie hapa huwa inakuaje kwenye hili?Maana mimi nimeamua kuwa kimya bila kuzungumza chochote.....mbaya zaidi amekuwa busy na simu anaweza ku-chat hata mpaka saa 6 za usiku,wakati mara ya kwanza mm nikitumiwa sms hata moja saa 3 usiku ilikuwa ugomvi ntaambiwa niwaambie hao watu wasinisumbue nipo na mke wangu,lakini leo yeye leo ndo amekuwa kinara wa kuchat,nikimwabia najibiwa "KILA MTU ANA UHURU WAKE WA SIMU",.........Wapendwa wa JF maneno ninayo mengi sana lakini kwa haya niliyoyatoa naamini mtakuwa mmepata picha halisi............NAWASILISHA

Pole Kaka kwa yaliyokukuta, Inaonyesha Mkeo keshapata wa kula naye huo mkopo ndie anayempa kiburi chote we vumilia pesa ziishe utoana anakuwa mdogo kama piriton na huyo bandidu wake wanayechati mpaka usiku mkubwa atamkimbia ndio atajua life ni nini. Ila zungumza naye mapema ukionupa kule endelea na life. life is to short to keep worrying everyday for someone so stupid like her.
 
hii ndoa inamapungufu haswa tokea mwanzo inaonekana haukuwa makini maana mwanamke hata maandiko ya vitabu vitakatifu hawakupewa kipaumbele ndio maana akili huwa kama kuna malaika wa zamu anawashikia akiamua apunguze utashangaa hata jana ulimnunulia gari akakusali hivi hivi. kuna mkuu wa kituo alipata pressure baada ya kumnunulia mwanamke gari na kumjengea nyumba ndani ya wiki tu alikuwa yuko nje ya penzi

Wanawake wa siku hizi wamegeuka kuwa wanaume hata ndevu wanafuga anakwambia unanitisha na nn. Kazi kweli kweli
 
Tatizo sometimes ni inferiority complex ya mwanaume, yaani hata mwanamke akiwa normal au akikataa kuambiwa kitu mume anasema ni sababu ya pesa/uwezo wake.., (yaani anataka anyenyekee wakati wote) au sometimes anatingisha kiberiti kuona atafanya nini...

Kutokuelewana kwenye ndoa kupo.., normally people don't need excuse ya kugombana.., hivyo ukiweka hili la kuzidiwa kipato ni kama kuweka chumvi kwenye kidonda au kumpa upele mkunaji (hata kama mama hana kosa mume atasema kwamba matatizo yao yote ni sababu kamzidi pesa). Ninachojaribu kusema busara inatakiwa hapa, na sometimes ni mume ndio anakuwa hana busara ili kuonyesha bado ni important analeta uanamume wake
 
Tabia halisi ya Mtu utaijua once akikamata Pesa

Kwa kesi yako Great Thinker Runners, huyo mwanamke hana mapenzi na wala heshima wewe kabisa, hiyo ni fact na lazima uikubali,
alikuwa anapretend kwa sababu alikuwa hana kitu, na sasa kapata cha ziada(Kukuzidi) ndio anaonyesha rangi yake halisi

Angalizo ninalokupa ni kwanza kufatilia huo mkopo kaupata kwa njia gani, kama ni mshahara wake sawa, lakini kama kuweka mali zenu za kifamilia (Nyumba, Fenicha nk), hilo lazima ulifatilie hata kwa mawakili ili iwe sawa, isije siku ukajikuta unalala nje bila kupanga

ushauri
ukali wa kiume kama kiongozi wa nyumba lazima ufanyike, kama mlijiwekea utaratibu wa kufika nyumbani mapema na mwisho wa kuchati na simu basi simamia hilo kwa nguvu zako zote, Kama alikuwa ndio muandaaji wa chakula basi simamia hilo pia,
Jaribu kuwa kwenye mistari ambayo hata kama mna watoto waweze kujua position yako na mamayao ikoje[/Q

Yaani siku hizi hapiki kabisa,hata kugusa nguo zangu kama ni kufua hata hagusi kabisa.......
 
imani iliyojengeka nikuwa mwanamke anakuwa under mwanaume. kiukweli, kwasasa wanawake wengi sana hukana imani hiyo. jambo hilo hupelekea wengi wao wanapopata ukombozi wa kujiwezesha kuwa na dharau, majigambo na majivuno. ila ukweli ni kwamba ni baadhi tu ya wanawake wako hivo na si kila mwanamke.
Mwanamke ambaye anajielewa hawezi kuwa na majigambo, majivuno au dharau kwasababu tu ya pesa. Huo ni ujinga. Kwa upande wangu napenda kuita huo ni ushamba wa kushika pesa kwani wapo wanawake ambao wanapesa zao, na hawana imani ya kuwa under control ya mwanaume endapo atakuwa katika mahusiano lakini anaelewa utu ni nini. Kinacho matter ni kuangalia future ya family kwa pande zote mwanamke na mwanaume bila kulinganisha vipato au mikopo. shida zipo pale pale, kesho na keshokutwa mmoja atahitaji msaada wa mwenza wake katika hali yoyote iwe ya kipesa, kinguvu au hata kimawazo
 
Tabia halisi ya Mtu utaijua once akikamata Pesa

Kwa kesi yako Great Thinker Runners, huyo mwanamke hana mapenzi na wala heshima wewe kabisa, hiyo ni fact na lazima uikubali,
alikuwa anapretend kwa sababu alikuwa hana kitu, na sasa kapata cha ziada(Kukuzidi) ndio anaonyesha rangi yake halisi

Angalizo ninalokupa ni kwanza kufatilia huo mkopo kaupata kwa njia gani, kama ni mshahara wake sawa, lakini kama kuweka mali zenu za kifamilia (Nyumba, Fenicha nk), hilo lazima ulifatilie hata kwa mawakili ili iwe sawa, isije siku ukajikuta unalala nje bila kupanga

ushauri
ukali wa kiume kama kiongozi wa nyumba lazima ufanyike, kama mlijiwekea utaratibu wa kufika nyumbani mapema na mwisho wa kuchati na simu basi simamia hilo kwa nguvu zako zote, Kama alikuwa ndio muandaaji wa chakula basi simamia hilo pia,
Jaribu kuwa kwenye mistari ambayo hata kama mna watoto waweze kujua position yako na mamayao ikoje[/Q

Yaani siku hizi hapiki kabisa,hata kugusa nguo zangu kama ni kufua hata hagusi kabisa.......

Chakula cha usiku vp anakupa kama kawa?
 
Kumbe mkiwezeshwa ndo mnafanya haya ngoja mi niendelee kuhit na kurun khaa mwanaume unageuzwa zuzu hivi hivi.
wee acha tu.huyo mwanamme zuzu wa mwisho.mpaka watu wanashangaa.huyo bibi ana mwanmme na wala sio siri,huyo bwana yeye ameshikilia nimezaa nae mtoto.anampenda sana mtoto wake ila cha moto anakiona.mtoto atakuja kupata shida.bibi ana power za hali ya juu.
 
Back
Top Bottom