Kwa nini wanawake wazuri sana kwa umbo wengi wao hawaolewi??

Pretty women feel they are doing you a favour just by listening to what you have to say! They do not give you any attention at all when you are talking to her. They are the most boring to data, so guys just hit them and disappear into thin air before the realizes what had happened
 
sikuwa najua :photo:kumbe walioolewa ni wabaya!


:lol: mimi ndio nimeshangaaa zaidi Chauro. Humu ndani kuna mambo, mara wanawake warembo hawafai kuolewa kaaaaz kwelkwel......kwahiyo sasa hivi wanataka kusema uzuri ni kilema????
 
pretty women feel they are doing you a favour just by listening to what you have to say! They do not give you any attention at all when you are talking to her. They are the most boring to data, so guys just hit them and disappear into thin air before the realizes what had happened

si mchezo!!!!!
 
wanawake hawana formula1 unaweza kuwa nae wa kawaida lakini ndo akawa mcharuko ile mbaya,kwa maana uzuri wa mwanamke upo machoni mwa aliyemwona na kumtamani/kumpenda,ntakayemwona mimi mzuri wewe unaweza ukamwona wa kawaida tu kwako kutokana na mtizamo

:poa :poa la Jeneral
It's beauty that captures your attention, personality captures your heart.....let's close this chapter.
 
ukimuona mzuri waulize mtaani kwao, kwani mwanamke mzuri yupoje na mbaya yupoje angali Bible inasema mungu katuumba wanadamu kwa mfano wake,inamaana wote walio oa awajaoa kwa kuwapenda na kulidhika na kiwango cha wake zao?acheni mambo yetu bwana na cha ajabu zaidi hata mulio oa mnachangia mada hii ebu pisheni uko.
 
Mnaosema 'beauty is in the eye of beholder' huwaga siwaelewi,hamjawah kutana na au hamwajui girls ambao kila mtu anasema ni wazuri?hata kwny bible wanawake wengine wametajwa kuwa wazuri live bila chenga mfano rebeca,rachel,sara n.k
back to topic,kuolewa tabia ya mtu japo uzuri unachangia,mbna wapo wasio wazuri wengi tu hawajaolewa as well,sema wazuri wengine maringo ya kujiona atapata yoyote anaemtaka yanawaweka benchi muda mref
 
Mit 11:22
Kama pete ya dhahabu katika pua ya nguruwe, Kadhalika mwanamke mzuri asiye na akili.

Mit 31:30
Upendeleo hudanganya, na uzuri ni ubatili; Bali mwanamke amchaye Bwana, ndiye atakayesifiwa.

Mit 12:4
Mwanamke mwema ni taji ya mumewe; Bali aaibishaye ni kama kuoza mifupani mwake.

Mithali 21:9
Ni afadhali kukaa katika pembe ya darini, Kuliko katika nyumba pana pamoja na mwanamke mgomvi.

Mit 14:1
Kila mwanamke aliye na hekima hujenga nyumba yake; Bali aliye
m---pu--mba-vu huibomoa kwa mikono yake mwenyewe.
 
Mzuri ni hela jamani sio mwanamke,kwani hata ukioa mbaya unaweza kumfanya awe mzuri utakavyo wewe mradi hela iwepo.Pamba kali na saloni hata uwe mbaya utaonekana mzuri.
 
Mzuri ni hela jamani sio mwanamke,kwani hata ukioa mbaya unaweza kumfanya awe mzuri utakavyo wewe mradi hela iwepo.Pamba kali na saloni hata uwe mbaya utaonekana mzuri.

sikubaliani na wewe, mbona lotus kyamba wa eatv anajiremba lakini bado Mbayaaaaaaaàaa
 
wengi wa wanawake wazuri wanakua na wanaume wengi wanaowafuatilia na wanajisahau kwa sababu ya kulewa sifa
kila mwanaume anamsifia kua yeye mzuri,kila mwanaume anataka kumtoa out yeye,kila mwanaume anamhonga yeye

sasa anapokuja mtu mwenye mapenzi ya dhati na yule mwanamke anapata shida kumweka kwenye mstari kwa sababu
tu ya wide choice aliyonayo asijue ya kwamba wangine ni mamluki tu,mwisho wa siku jamaa anakata tamaa na kusepa
akija kushtukia ishu,its too late hamna chake tena
 
Wengi wao wanalinga sana, kiburi kimewajaa, ila kumbukeni Shetani kwa uzuri wake alipata kiburi akashushwa chini. Hivyo wanawake wengi na hasa wazuri kwa nje hujaa kiburi na hushushwa chini kwa kupewa mimba na kuachwa.
 
Kwanini wasichana wengi hawaolewi wengi wao hukimbilia baa na kuwa
wahudumu.

============

Jamani hivi kwanini wanawake wazuri walio wengi hawaolewi? Zaidi utawakuta wanauza baa au wanafanya kazi saloon, hata wale wenye elimu zao na niwazuri wengi wamezalishwa tu na kuachwa, kwanini? Hii kitu inaniuma sana hadi huwa natamani mimi niwaoe wote wa wazuri.

Jadili tafadhali!
 
Back
Top Bottom