Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,253
- 11,599
Nakuunga mkono mkuu. zama za kumfukuza mke zimepitwa na wakati,kilichobaki sasa akikuuzi unasepa tu. ukienda job jumla!!!!
Sioni kama kuna sababu ya kusepa. Katika suala kama hili haikuwepo sababu ya kujadiliana. Mama amechoka na mlo mmoja kwa hiyo ilibidi wakubali kutokukubaliana ili amani itawale. Mama apate uhuru wake aendelee kuonja onja na jamaa aanze upya maisha yake. Wakubaliane jinsi ya kumlea mtoto basi. Hakuna sababu ya kuishi na maumivu ambayo unaweza kuyasahau kwa muda mfupi sana ili mradi umeachana na chanzo chake. Watu wengi wanatoka nje ya ndoa. Ila inapofikia mtu anashindwa kuheshimu ndao yake basi hiyo ndoa imekufa kifo kitakatifu, hata wakilazimishana kuishi pamoja.