kwa nini wanawake hawatoi sifa au kukandia?

Nahitaji sana kuelewa hili, mara nyingi humu utakuta topic nyingi zinahusu wanawake wa sehemu fulani sijui watamu, sijui wanajua mapenzi, sijui wanawe utakuta wanaume wanajitoa, wanachangia kweli experience zao na wanawake wa aina mbalimbali, wenye kutoa sifa haya, wenye kutoa dharau nao wapo, sasa nachoshangaa ni kwamba mbona wanawake wao huwa hawatoi experience zao kuhusu wanaume wa mikoa mbalimbali au nchi mbalimbali? sababu ni nini? au wamefundwa kuficha siri za wenzi wao?, au ni aibu? au hawana experience ya kutosha? ( which is understandable maana wanawake si donoa donoa kama wanaume) ni nini haswa?

wanaume watamu wako kinshasa congo,bongo hakuna mwanaume mtamu wote wanajifunza ku2mia miko yao kusongea ugali,kwahyo hata sijui tuanzishe sred kuhusu nini kwani mwanaume wa kichaga hana tofauti na wa tanga wala songea
 
FirstLady tokea umezama kwenye penzi la Nyoshi El Sadat basi hatusemi l.o.l
 
MMH ya kweli hayo?

swali hili ningetaka kulipost ila kwa kuhofia kukosa comments kwa kuwa mie mjukuu wa kokudo na laana ya kukosa wachangiaji kama babu yangu inaniandama niliogopa.sasa wacha niulize pia.

Hivi ktka vikao vyenu vya umbea,kama tulivyo na vikao vyetu vya ulevi,mlishawahi kuuliza wenzi wenu kwa nini hawaolewi? Ama hawatafuti wachumba na miaka inaenda? Mara si moja utakuta mwanamke amekithiri kwa hali na mali ila swala la ndoa NO! Sijui mnaambianaga tafuta mchumba? Sie kwa upande wetu.haswa mimi..hushinikiza wenzangu kuwa kama umepata kazi ama umejaliwa kimaisha,then tafuta mchumba..na nitatoa sifa za madem kadhaa.wa kabila tofauti ajichagulie.hata kama ni posa niko tayari kumwakilisha.hebu nifungue macho bidada.halaf tuendelee.nina viceroy hapa ya kunisaidia kwa majibu..na swala la donoa donoa ondoa.kwani 99 percent ya wadonoaji ni nyie.
 
ama kweli JF ni kisiwa cha burUdani nimetoka huko nilikotoka nimechikia , nimechoka, ninahasira basi naona kila mtu hanifai hata simu hainifai yani so vagaranti ila nilipoingia jf tu mambo waaaaaaaa nacheka mwenyewe hasa nilipokuta hilijibu hapa hahhaaahha its make my night well........et toka umpate nyoshi el.........hahahahah its real good to be in jF foreva VIVA jf viVA.......
 
swali hili ningetaka kulipost ila kwa kuhofia kukosa comments kwa kuwa mie mjukuu wa kokudo na laana ya kukosa wachangiaji kama babu yangu inaniandama niliogopa.sasa wacha niulize pia.

Hivi ktka vikao vyenu vya umbea,kama tulivyo na vikao vyetu vya ulevi,mlishawahi kuuliza wenzi wenu kwa nini hawaolewi? Ama hawatafuti wachumba na miaka inaenda? Mara si moja utakuta mwanamke amekithiri kwa hali na mali ila swala la ndoa NO! Sijui mnaambianaga tafuta mchumba? Sie kwa upande wetu.haswa mimi..hushinikiza wenzangu kuwa kama umepata kazi ama umejaliwa kimaisha,then tafuta mchumba..na nitatoa sifa za madem kadhaa.wa kabila tofauti ajichagulie.hata kama ni posa niko tayari kumwakilisha.hebu nifungue macho bidada.halaf tuendelee.nina viceroy hapa ya kunisaidia kwa majibu..na swala la donoa donoa ondoa.kwani 99 percent ya wadonoaji ni nyie.
embu kwanza nikkulize kabla ya kujibu .......tukishakaa na kumuuliza huyo inakuwaje next
yani na mume tunapanga mikakati ya kumtafuta au???? mi sielewi halafu ukishajua inakuwaje
i think kuingilia maisha ya mtu binafsi doesnt make any sense after all wht u asking u cn not help any solution
 
MMH ya kweli hayo?

mallaba ni mambo yenye ukweli mutu ya congo we acha tu
sio wandugu bongo mara kalamba sikio mara eti karukia tumbo anaingiza kachovya mara hee hee unageuka eti anapumua kama papa
senks ma dia senks eti i real enjoy mmmh unabaki kujiuliza mmh huyu mzima kweli ......hahhahha unajiosha unajiondokea zako kuangalia paku service machine mzee asijue tu hiyo ndio sheria mama.......
 
embu kwanza nikkulize kabla ya kujibu .......tukishakaa na kumuuliza huyo inakuwaje next
yani na mume tunapanga mikakati ya kumtafuta au???? mi sielewi halafu ukishajua inakuwaje
i think kuingilia maisha ya mtu binafsi doesnt make any sense after all wht u asking u cn not help any solution

wakuchakachua nakupata freshi sana.ni hivi.nimetanguliza kwa kusema ktka vikao vye2 waume.in the sense that najumuisha walio ndani ya ndoa na wanaojua utamu wa ndoa..ndipo nasema,kivyangu huwa sioni ni sawa kuona bachela tunakunywa nae,tunafanya kazi nae,ilhali mie nikifika home kila ki2 mwake.nguo nimefuliwa,mlo nimeandaliwa,asubuhi naamshwa na alarm aina ya watoto wakienda kindergaten wakati mwenzangu nliekamata nae ulabu hapati hayo yote..ila kwa vikao vyenu hayo yapo? Utakuta mama mwenye salon kaajiri madada under18 na usia wa maana wa kuwapa pengine ni kuwashauri kuwa wakipata buzi walichune vilivyo..ni baadhi tu ya yale ninayohadithiwa..sijui ukweli upo mwenzangu?
 
Back
Top Bottom