kwa nini wanawake hawatoi sifa au kukandia?

carmel

JF-Expert Member
Aug 24, 2009
2,836
262
Nahitaji sana kuelewa hili, mara nyingi humu utakuta topic nyingi zinahusu wanawake wa sehemu fulani sijui watamu, sijui wanajua mapenzi, sijui wanawe utakuta wanaume wanajitoa, wanachangia kweli experience zao na wanawake wa aina mbalimbali, wenye kutoa sifa haya, wenye kutoa dharau nao wapo, sasa nachoshangaa ni kwamba mbona wanawake wao huwa hawatoi experience zao kuhusu wanaume wa mikoa mbalimbali au nchi mbalimbali? sababu ni nini? au wamefundwa kuficha siri za wenzi wao?, au ni aibu? au hawana experience ya kutosha? ( which is understandable maana wanawake si donoa donoa kama wanaume) ni nini haswa?
 
Mi nahisi sio hulka ya mwanamke kueleza eleza mambo ya mahusiano kiivo!! Yani utokee mwanamke uanze wanaume wa Kingoni ni watamu!! Mmmmmmh sijui lakini mmmmh!!!
 
Nahitaji sana kuelewa hili, mara nyingi humu utakuta topic nyingi zinahusu wanawake wa sehemu fulani sijui watamu, sijui wanajua mapenzi, sijui wanawe utakuta wanaume wanajitoa, wanachangia kweli experience zao na wanawake wa aina mbalimbali, wenye kutoa sifa haya, wenye kutoa dharau nao wapo, sasa nachoshangaa ni kwamba mbona wanawake wao huwa hawatoi experience zao kuhusu wanaume wa mikoa mbalimbali au nchi mbalimbali? sababu ni nini? au wamefundwa kuficha siri za wenzi wao?, au ni aibu? au hawana experience ya kutosha? ( which is understandable maana wanawake si donoa donoa kama wanaume) ni nini haswa?

tumeumbwa na aibu!!
 
ok, kumbe ni aibu..............lakini nasi si tuna haki ya kuwadiscuss kama wao wanavo tudiscuss?
 
Dada Carmel haipendezi kwa mdada kumdiscuss mwanaume hasa maswala ya mapenzi.

ila wao ndo wana haki ya kutudiscuss na kutudhalilisha? je inapendeza wanaume kuwadiscuss wanawake kwenye ishu za mapenzi?
 
Mhhh ni ngumu kweli kwa mdada kukaa chini nakuanza kusema mwanaume yule yuko hivi...wa mwaka juzi alikua vile....wa sasa hivi nae hivi!!Haipendezi wala haivutii....
 
Navyofahamu carmel wanawake nao huwa wanadiskasi sikubaliani na hili swala la aibu siku hizi hakuna cha aibu
 
Mhhh ni ngumu kweli kwa mdada kukaa chini nakuanza kusema mwanaume yule yuko hivi...wa mwaka juzi alikua vile....wa sasa hivi nae hivi!!Haipendezi wala haivutii....
Lizzy nyie mkikaa kikundi cha wanawake huwa mnadiskasi banaa.....
 
ila wao ndo wana haki ya kutudiscuss na kutudhalilisha? je inapendeza wanaume kuwadiscuss wanawake kwenye ishu za mapenzi?
Kutokana na mfumo wa maisha kuwa mwanaume amekuwa ni kinara wa kuwa na wanawake wengi katika mahusiano yake tofauti na mwanamke ndio maana wanawake mnaona kuwa wanaume wamekuwa wanawadiscuss,mwanamke atadiscuss nini na wenzake wakati kakutana na mwanaume mmoja au wawili tu katika mahusiano yake?Jibu utakuja kuona hakuna cha kudiscuss,hivyo wanawake lichukulieni hili jambo si kama mnadhalilishwa bali ndio hali halisi ya maisha tuliyonayo.
 
Mhhh ni ngumu kweli kwa mdada kukaa chini nakuanza kusema mwanaume yule yuko hivi...wa mwaka juzi alikua vile....wa sasa hivi nae hivi!!Haipendezi wala haivutii....
Huko saloon hua mdadisikasi mpira?
 
Lizzy nyie mkikaa kikundi cha wanawake huwa mnadiskasi banaa.....

Mmh labda ni kweli Fynest..ila binafsi sijawahi wala sifagilii!Kuna dada mmoja ye alikua anaongea mambo ya chumbani kwake kama kwa mtu yeyote na mahali popote!Nlikua namuona wa ajabu kweli!
 
Carmel mwanamke hawezi toa siri kama wanaume.

Si unaona hata wakikaa vijiweni wanavyoanza kuongea mke wa fulani, tena si mwanamke ni demu fulani yuko hivi ana ma*** ana K*** ya vile ana nini na nini sijui mambo kibaooooo mpaka wanachosha.

Hebu sema we unaweza kuanza kusema kwa wanawake wenzio eti mume wangu ana kibamia?? Au hilo tango?? Au hajatahiriwa? Zaidi utakuta unaweza kusema sipendi mume wangu alewe au awe na mwanamke mambo ya ndaaaani huwezi sema kabisa
 
Back
Top Bottom