Mh!hawa vijana waandamanaji hawaoneki kama wana wake au wazazi achilia mbali mahali pa kulala!kwa uelewa wao hata anachozungumza slaa kwao ni kama kiarabu
Upo peke yako!!wale akina mdee wanataka ubunge tu,mioyoni wanamfeel jeikei

Kama unahudhuria mikutano na maandamano ya chadema utagundua kuwa watu wanaohudhuria wengi wao ni wanaume! Najiuliza ni kwa nini? Hata ukiwahoji wanawake m1 m1 wanasema hawaipendi chadema!nimeshafanya hivyo! Wenzetu amerika vyama vya siasa vinapigania sana kukubalika na wanawake. Lakini mikutano ya ccm wanawake huwa wanakuwa wengi sana!! Hata hao wanaume ambao huwa wanahudhuria mikutano ya chadema huwa ni vijana wadogo mapepe flani hivi!busara zero. Ama kweli rafiki wa muhuni ni wahuni wenzake!! Mungu aliwaumba wanawake na busara ya kimungu! Wanajua kipi chema and kipi uozo.
Asante kwa matusi yako lakn mimi naipenda CHADEMA na ni mwanachama hai kabisa

DA mzima wewe? Vipi weekend!? Pia unaweza kuitumia changamoto hii kuwapigia debe CDM kwa ndugu, jamaa na marafiki wote (ikiwemo Wanawake) ili kuongeza idadi ya wanachama hai kule CDM.

Niko poa sana ngoja nianze kazi uliyonipa BAK weekend wapi bana
Umeshawahi kujiuliza kati ya wanawake/wanaume au wazee/vijana ni wepi wanahama sana sehemu zao za kazi? Basi kwa taarifa yako hakuna kiumbe kinachoogopa mabadiliko kama wanawake au wazee, mind zao zimejitune kuridhika na walichonacho kiwe kibaya au kizuri.
1.Kwenye ndoa ukishafikia umri wa uzee hata spouse wako akucheat mtalipeleka swala kwa wazee na mwisho mtaendeleza maisha (wakati kwa vijana mchezo umeishia hapo). Pia ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanaume kupenda kujaribu mabadiiko hasa kama hapati kile anachokitaka kutoka kwa spouse wake.
2. Sehemu nyingi za kazi mtu ukishafikia umri fulani wa uzee hata boci wako akutukane vipi utaendelea kukaa ukisubiri kustaafu, vivyo hivyo kwa wanawake. Si tuliooa tunakutana na incidence za wife anakuja huku analia ooh boc kanitukana, mshahara nalipwa kidogo na mambo mengi mabaya ya kazini, ukimwambia hama anasema nimeshapazoea. Mpaka inabidi we mwanaume ndio ufanye initiative za kumtafutia kazi na umlazimishe sana kuhama.
Kwa hiyo ukae ukijua vijana hawa wanaoenda kwenye mikutano wanarudi nyumbani kuwasimulia baba zao na wake zao walichosikia na wanachojua kuhusu CDM na CCM, ndio hawahawa wenye uwezo wa kuwaconvice wanawake zao waipende chadema na si kuconviciwa na hao wanawake zao. Mpaka kufika 2015 utshangaa idadi ya wanawake itakavyopungua kwenye hiyo mikutano ya Magamba.
Wazee na wanawake wanachukua muda kuelewa jambo na kulifanyia kazi kuliko vijana wa kiume, ila siku wakielewa hata utumie mbinu hata za kujikata kichwa hawatarudi.
Uchumi umenuna na bei ya petroli haishikiki. Naangalia mpira hapa wa ligi ya UK.
Naona City ishakuwa usiku kwao. Bora tufarijike na futbol kuliko kuchangia thread ya huyo aliyetumwa na wenye magamba..
atakuwa anachukua statistics za wanachadema wanawake jf.