Kwa nini wanajeshi wengi huwa wanasaidia sana ndugu zao kuliko polisi?

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,151
11,200
Kwa mda mrefu nimejaribu kuchunguza hili jambo kwa watu wengi sana nimegundua kuwa wanajeshi wapo mstari wa mbele sana kusaidia ndugu zao kimaisha na hata kuwasomesha wadogo zao au watoto wa ndugu zao

Lakini upande wa pili huko.......!!!!!
 
jeshi mafunzo yao kutambua jamii na kiulinzi na kila siku wao ni mafunzo.ndo maana mwanajeshi ni tofauti sana kuliko polisi akienda kozi ndo ni tolee mpaka anakufa hakuna mafunzo muendelezo.huo msaada utoke wapi.si kwa wote lakini ila niwengi sana sana
 
Mmh,mada Nyingine!kuna kitu unatafuta.
 
Kwa mda mrefu nimejaribu kuchunguza hili jambo kwa watu wengi sana nimegundua kuwa wanajeshi wapo mstari wa mbele sana kusaidia ndugu zao kimaisha na hata kuwasomesha wadogo zao au watoto wa ndugu zao

Lakini upande wa pili huko.......!!!!!
Conclusion yako umeandika Kama vile wanajeshi na polisi wote unawafahamu.

Unaposema wanajeshi wanasaidia ndugu zao unamaanisha wanajeshi wangapi? Au polisi wangapi?.

Kusaidia ni moyo wa mtu, Kama huna moyo wa kusaidia hata ungekua rais bado hutasaidia mtu
 
jeshi mafunzo yao kutambua jamii na kiulinzi na kila siku wao ni mafunzo.ndo maana mwanajeshi ni tofauti sana kuliko polisi akienda kozi ndo ni tolee mpaka anakufa hakuna mafunzo muendelezo.huo msaada utoke wapi.si kwa wote lakini ila niwengi sana sana
Si kweli,wanaenda sana kozi,hata mimi zamani nilijua huwa hawaendi kozi tena baada ya kozi ya awali,
Kusaidia ni roho ya mtu na si askari jeshi au polisi
 
Polis ni moja ya watumish nchin wenye kipato duni sana ivo msaada wao kwa ndugu zao hauwez kua significant km wanajeshi. Yan kwa kifupi polis wana njaa sana na tena nafikir laana zitokanazo na kuonea raia wasio na hatia kunafanya wazid kua na maisha magum ie. Asilimia kubwa ya polisi ni wasumbufu sana kwa jamii ili wajipatie kipato cha ziada maana mshahara n mdogo sana
 
Back
Top Bottom