kweli,wangu alitoa ng'ombe 50,akapigiwa hesabu kila ng'ombe elfu 20.Nakibhuja sana nikasema najinjiwa lulu.
eeh haya makubwa wacha nitoke humu japokuwa pananihusu
Beng'hwe, nde mubhona, mlikanya nulu?!
Ha ng'wa pe giki, jagi kuPM
u r right...........hawa jamaa ni noma, na ndio maana ukionja kwao lazima utangaze ndoaWasukuma wanaiweza kazi bana. Si unaona wanakuwa na wake wengi?
Sasa Mchaga analala anawaza pesa tu. Nasikia sasa Wakenya wanawasaidia kazi maana wao wanaonekana wakati wa X-Mas tu.
Ukiangalia hata maumbo, Wasukuma Kamguu Ka Mtoto si haba. Hapo sasa Ngosha ale ugali wake, weee....
"............Khaa!! Mashiku watumia dawa babaangu............"
True 100%!.Wasukuma wanapenda wanawake weupe; wachagga wanapenda mali za wasukuma!
Ila wanaume wengi wa kisukuma wakioa wachaga; husahau extended family hata immediate mf kaka na dada zao, na hujikuta wakibase uchagani zaidi. Na hata watoto wakizaliwa hujiona wachaga zaidi kuliko wasukuma. Hii nimeiona kwa zaidi 90% za couple mix (mume msukuma, mke chagga); actually couple zote ninazozifahamu (more than 5 na less than 10.

Very true!.kwa usukumani ni kawaida mwanamme kuwa na wanawake wa nje
we dont feel guilty kihivyo
hata wanawake wetu wa kisukuma wanajua hilo
wanajali lakini they can deal with it
Hii inatokana na nini?True 100%!.
P.
Mbona wewe unawapenda sana wanaume wa kisukumaHii inatokana na nini?
Basi tu imetokea kuwapendaMbona wewe unawapenda sana wanaume wa kisukuma
Yule mpenz wako msukuma bado unaye au nijitose mimiBasi tu imetokea kuwapenda