Kwa nini Wachaga Wanawapenda Wasukuma??

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
Nimefanya kautafiti wangu, nikagundua kuwa Wachaga wengi wanapenda kujichanganya na Wasukuma kuliko makabila mengine ya Tz, Wachaga wengi wameoa/wameolewa na Wasukuma na pia wanashirikiana nao kibiashara.
Baada ya kutafakari sababu.... nimepata majibu yafuatayo:-

1- Wasukuma Wengi wana mali na ni Matajiri
2-Wasukuma ni waaminifu sana.
3-Wachaga ni wajanja na wana mbinu nyingi kuliko Wasukuma kwa hiyo inakuwa rahisi kwa Mchaga kupata faida

Wana JF ningeomba pia na nyinyi mawazo yenu, na kama mna sababu zaidi ya hizo....
 
Wasukuma wanapenda wanawake weupe; wachagga wanapenda mali za wasukuma!

Ila wanaume wengi wa kisukuma wakioa wachaga; husahau extended family hata immediate mf kaka na dada zao, na hujikuta wakibase uchagani zaidi. Na hata watoto wakizaliwa hujiona wachaga zaidi kuliko wasukuma. Hii nimeiona kwa zaidi 90% za couple mix (mume msukuma, mke chagga); actually couple zote ninazozifahamu (more than 5 na less than 10.
 
Maybe because they are two of the larger tribes in the country ergo you are bound to get more unions between the two compared to other smaller tribes
 
Weeeee stop
mwanamme wa kisukuma na watoto wake wawe JOGORI?!!!
It will never happen
Tena sababu ya mwanamke!?
Hata awe mweupe kama mbalamwezi
Mtoto wa msukuma huwa ni msukuma tu
hata umpe limbwata atakuwa mwalu, misoji, masanja

wanaume wa kisukuma wana EGO kubwa sana
always watoto ni wake na anawapa majina yeye
hata azae mtaani baada ya ndoa atawaleta wote hapo nyumbani

Ila tunapenda wachaga na wameru sababu ya rangi afu huko kwenu wanatupabure hakuna mahari

huku usukumani dun mwanamke mweupe bila ng'ombe 30 simpati

Wasukuma wanapenda wanawake weupe; wachagga wanapenda mali za wasukuma!

Ila wanaume wengi wa kisukuma wakioa wachaga; husahau extended family hata immediate mf kaka na dada zao, na hujikuta wakibase uchagani zaidi. Na hata watoto wakizaliwa hujiona wachaga zaidi kuliko wasukuma. Hii nimeiona kwa zaidi 90% za couple mix (mume msukuma, mke chagga); actually couple zote ninazozifahamu (more than 5 na less than 10.
 
Nmh; kongosho l wish ningekupa majina ya hao couple (by the way u might be one of the couple l know. LOL)

Wasukuma wapole (though ni vitom.i) na hiyo hufsnya wanawake kuwapanda! I am married to one, na shemeji yangu (Mdogo wa mume wangu) kaoa mchaga!
 
Mweh mweh mweh! Hivi mateka amekusumbua hadi ukaamua kubadili jinsia? Mi mchaga afu mweupe kama mbalamwezi, tafadhali njoo unichumbie. Na hivi zimwi likujualo, tunapeana zamu kupika supu za maini,lol!
huku usukumani dun mwanamke mweupe bila ng'ombe 30 simpati
 
Nimefanya kautafiti wangu, nikagundua kuwa Wachaga wengi wanapenda kujichanganya na Wasukuma kuliko makabila mengine ya Tz, Wachaga wengi wameoa/wameolewa na Wasukuma na pia wanashirikiana nao kibiashara.
Baada ya kutafakari sababu.... nimepata majibu yafuatayo:-

1- Wasukuma Wengi wana mali na ni Matajiri
2-Wasukuma ni waaminifu sana.
3-Wachaga ni wajanja na wana mbinu nyingi kuliko Wasukuma kwa hiyo inakuwa rahisi kwa Mchaga kupata faida

Wana JF ningeomba pia na nyinyi mawazo yenu, na kama mna sababu zaidi ya hizo....

You might be absolutely right!! though I am not sure if your contention is true that chagas like/love Sukumas. Anyway, all in all wasukuma huwa ni limbukeni unaweza ukamtwist unavyopenda kwa sababu ya ulimbukeni. Kwa mchaga ambaye ni mwizi/mpenda pesa kuliko uhai wa kitu chochote, ni nafasi nzuri ya kumwonea msukuma masikini.
 
najua ni vito..., na kichwani hapandwi
labda wameolewa na tudakama
lakini mnang'weri? Heee, humpandi kichwani
afu hawacheat wala kwa kijificha sana
mwanamme akibambwa anakuambia kabisa wanakusaidia
nakuonea huruma pekeako
tena enzi zile vijijini
anamwambia kabsa mkewe pumzika kunifulia
ngoja nikatafute wa kukusaidia

kwa usukumani ni kawaida mwanamme kuwa na wanawake wa nje
we dont feel guilty kihivyo
hata wanawake wetu wa kisukuma wanajua hilo
wanajali lakini they can deal with it

any way kuna few exceptions labda
hata polygamy kule ruksa hadi raha

Nmh; kongosho l wish ningekupa majina ya hao couple (by the way u could've been one of those l know. LOL)

Wasukuma wapole (though ni vitom.i) na hiyo hufsnya wanawake kuwapanda! I am married to one, na shemeji yangu (Mdogo wa mume wangu) kaoa mchaga!
 
we wajua jinsia yangu si siku ile nlivua kuhakikishia?!
Usimuongelee mateka roho inanipaa nataka kurudi kulala
He is still sleeping like a baby
so sweet

Mweh mweh mweh! Hivi mateka amekusumbua hadi ukaamua kubadili jinsia? Mi mchaga afu mweupe kama mbalamwezi, tafadhali njoo unichumbie. Na hivi zimwi likujualo, tunapeana zamu kupika supu za maini,lol!
 
Kwa waliooana kwa kufahamiana Vyuoni au makazini ni sababu wasukuma kwa wasukuma wakikutana sehemu hizo wao wanakuwa dada na kaka,hata kama sio ndugu,so unakuta wanaoa au kuolewa na wachaga au kabila lingine
 
Akuu! Mi sina tabia ya kuchungulia watu! Hehehe, wanasema 'he looks yummy in his vulnerable state...' Akiwa kasinzia. Ila una jinsia mbili,nimekustukia aisee! Usije ukaharibu,lol
we wajua jinsia yangu si siku ile nlivua kuhakikishia?!
Usimuongelee mateka roho inanipaa nataka kurudi kulala
He is still sleeping like a baby
so sweet
 
mi binafsi nawapenda wasichana wa kisukuma. ni wazuri, wanavutia, hawana kashfa za kitamaduni. Mzazi wala hahoji kwa nini umeoa msukuma, ila wengine...!
 
Nimefanya kautafiti wangu, nikagundua kuwa Wachaga wengi wanapenda kujichanganya na Wasukuma kuliko makabila mengine ya Tz, Wachaga wengi wameoa/wameolewa na Wasukuma na pia wanashirikiana nao kibiashara. Baada ya kutafakari sababu.... nimepata majibu yafuatayo:- 1- Wasukuma Wengi wana mali na ni Matajiri 2-Wasukuma ni waaminifu sana. 3-Wachaga ni wajanja na wana mbinu nyingi kuliko Wasukuma kwa hiyo inakuwa rahisi kwa Mchaga kupata faida Wana JF ningeomba pia na nyinyi mawazo yenu, na kama mna sababu zaidi ya hizo....
Ongeza namba 4:Wachaga wengi ni wasomi, hivyo wasukuma wanapenda wasomi
 
Mi naona wasukuma walio wengi ni wakarimu na wako wengi ukilinganisha na makabila mengine...wewe nenda Mwanza au Shinyanga au tabora hata kama sio ndugu yake ukifika atakuchukulia kama ndugu yake kabisa na kukupa kila kitu utakacho tofauti na makabila mengi...Karibuni Mwanza karibuni shinyanga kwetu.
 
You might be absolutely right!! though I am not sure if your contention is true that chagas like/love Sukumas. Anyway, all in all wasukuma huwa ni limbukeni unaweza ukamtwist unavyopenda kwa sababu ya ulimbukeni. Kwa mchaga ambaye ni mwizi/mpenda pesa kuliko uhai wa kitu chochote, ni nafasi nzuri ya kumwonea msukuma masikini.

Kumbe wasukuma malimbukeni! Halafu kule kwao, ukisahau gari na funguo zake utalikuta salama salmini. Ila ole wako ulale kiganja cha mkono kikatokeza dirishani. Utakuta wameukata mkono na kwenda nao.
In short mali zao wasukuma wanajua wanazitafutaje na wachaga nao wanajua wanazilaje....wote hawa ni noooma in their areas of expertise.
 
Back
Top Bottom