Kwa nini wabunge wa CCM na CUF wanamchukia sana Tundu Lissu?

Lilwayne

Member
Nov 15, 2011
50
20
[h=6]kwanini CCM,serikali yao,viogozi wao na CUF na wabunge wao humchukia sana Tundu Lissu NAKUIKASHIFU SANA chadema "KUWA NA WABUNGE WENGI WA CCM BUNGENI NI JANGA LA KITAIFA"[/h] HEBU yasikie ya wabunge wa CUF.!!....Waziri wa Afya wa Zanzibar-CUF bwana Juma Duni Haji ametetea vikali mswada wa katiba mpya uliopitishwa na bunge na kusema hata mwalimu Nyerere wakati wa uandaaji katiba ya mwaka 1977 aliteua wajumbe nusu kwa nusu kati ya Tanganyika na Zanzibar.Waziri huyo ameilaani Chadema na kumfananisha Tundu Lissu na mtu asiye na akili. Bwana Juma Duni Haji ameyasema hayo katika kipindi maalum cha dakika 45 ambacho kimerekodiwa na kitarushwa siku ya Jumatatu

mimi kama Mtanzania mzalendo namwona TUNDU LISU kama shujaa VITANI chadema msirudi nyuma CUF inakufa taratibu Godbless Lema alisema; Ni heri vita inayotafuta haki na usawa, kuliko amani inayopumbaza na kudhalilisha utu wa mwanadamu
Nawasilsha
 
The simplest explanation 'He makes them look like nincompoops'

When someone defeats you on 'Hojber stma' you have to join him, but if you can't join them you look foolish, rubber stamp, and you are working for someone else (your tumbo)who is not your constituent or your country.
 
Siku zote watu wenye dhamira mbaya hujenga chuki dhidi ya wale wanaosema ukweli.
 
Hicho wanachokifanya dhidi ya Lisu kinaitwa "ad hominem", yaani kumshambulia mtu baada ya mtu huyo kukushinda kwa hoja. Wabunge hao wanamchukia TL kwa sababu hawawezi kupambana naye kwa hoja, anawazidi kwa mbali. Kwa hiyo response yao wanaielekeza kwenye mipasho, kejeli na matusi ili walau wamdhalilishe. Hii ni dalili ya inferiority complex
 
Tl angefaa sana kuwa attorney general,ni mwanazuoni wa upeo wa juu katika tasnia ya sheria.
 
Hicho wanachokifanya dhidi ya Lisu kinaitwa "ad hominem", yaani kumshambulia mtu baada ya mtu huyo kukushinda kwa hoja. Wabunge hao wanamchukia TL kwa sababu hawawezi kupambana naye kwa hoja, anawazidi kwa mbali. Kwa hiyo response yao wanaielekeza kwenye mipasho, kejeli na matusi ili walau wamdhalilishe. Hii ni dalili ya inferiority complex

Wameshikwa pabaya hawana namna sasa maana janja yao ina anikwa wanatafuta namna ya kuhalalisha kula yao but honestly KAFU in Zanzibar they are not accepted na wana CCM .I was in Zanzibar juzi nimekaa pale Bwawani hotel kukatokea kosa la Bihindi waziri kupikiwa muda mwingi wateja wengine wakakosa kula ndipo nilijua moyoni CCM wana njama zaidi na KAFU watashangaa soon .
 
Juma Duni Haji ni mfilisi wa kisiasa.Na kwa sasa hana jipya kwani amepata alichokuwa akikitafuta siku zote.Chakul,madaraka na heshima hata ikiwa ni ya aibu.Nilipata kusafiri naye ktk ndege ya PRECISSION AIR NA tukakaa naye pamoja ktk mazungumzo ndipo nilipomjua kuwa ni hopeless na alikuwa akisubiri kwa udi na uvumba madaraka ili ahisi kuwa na yaya amnufaika na elimu yake ya UDSM.Sasa amepata kwa nini asiwe mpambe wa CCM?
 
kwanini ccm,serikali yao,viogozi wao na cuf na wabunge wao humchukia sana tundu lissu nakuikashifu sana chadema "kuwa na wabunge wengi wa ccm bungeni ni janga la kitaifa"

hebu yasikie ya wabunge wa cuf.!!....waziri wa afya wa zanzibar-cuf bwana juma duni haji ametetea vikali mswada wa katiba mpya uliopitishwa na bunge na kusema hata mwalimu nyerere wakati wa uandaaji katiba ya mwaka 1977 aliteua wajumbe nusu kwa nusu kati ya tanganyika na zanzibar.waziri huyo ameilaani chadema na kumfananisha tundu lissu na mtu asiye na akili. Bwana juma duni haji ameyasema hayo katika kipindi maalum cha dakika 45 ambacho kimerekodiwa na kitarushwa siku ya jumatatu

mimi kama mtanzania mzalendo namwona tundu lisu kama shujaa vitani chadema msirudi nyuma cuf inakufa taratibu godbless lema alisema; ni heri vita inayotafuta haki na usawa, kuliko amani inayopumbaza na kudhalilisha utu wa mwanadamu
nawasilsha
hoja za tindu lissu na wabunge wa chadema na chadema vinawaanika wazi wabunge wa ccm na cuf na kufanya wananchi waelewe ni nani hasa anaetetea wananchi na nani anaetetea tumbo lake na chama chake ccm chama cha mafisadi.hili ndio tatizo.mungu ibariki tanzania.
 
Back
Top Bottom