Kwa nini wabunge wa CCM na CUF wanamchukia sana Tundu Lissu?

Tundu lissu anachukiwa kwakuwa hes the best katika kutetea na kusimamia anachoamini kuwa ni sahihi. Kumbukeni kuwa jamaa anaogopwa hadi na Mkuu wa kaya, JK
 
OMBA MUGU UPATE KUONGEA NA TL KWA KARIBU, UTAGUNDUA KUWA SI RAHISI KUPATA WALIO KAMA YEYE WATATU TZ! HICHO NI KICHWA. SABABU:
1.NI JASIRI
2. ANAONGEA KWA LOGIC
3. ANASEMA ANACHOAMINI BILA KUJALI ANAMFURAHISHA NANI AMA KUMUUDHI NANI.
asante sana TL . VIJANA WA TZ JIFUNZENI KWA TL. MSIWE KAMA MAKONDOO.
 
ni bora Dr Slaa akawa rais kuliko Tundu Lisu kuwa mbunge -kikwete wakati wa kampeni
 
OMBA MUGU UPATE KUONGEA NA TL KWA KARIBU, UTAGUNDUA KUWA SI RAHISI KUPATA WALIO KAMA YEYE WATATU TZ! HICHO NI KICHWA. SABABU:
1.NI JASIRI
2. ANAONGEA KWA LOGIC
3. ANASEMA ANACHOAMINI BILA KUJALI ANAMFURAHISHA NANI AMA KUMUUDHI NANI.
asante sana TL . VIJANA WA TZ JIFUNZENI KWA TL. MSIWE KAMA MAKONDOO.

Bravo Tundu legacy yako imeiacha mbali sana ile ya Jk keep up najua unajua unachokifanya
 
Huyu sumu kali katika taifa hili mpeni sifa2 muone kitakachotokea, naishia hapo....
 
Back
Top Bottom