Kwa nini ulinimwaga? "Why did you dump me"

sio wanawake tu hata wanaume wengi ni hivyo. umeongea vizuri frank.
 
Elimu tosha, lakini nasema sio wote wanawake wako hivyo. Ukiona mdada atanguliza ndoa bila kukujua wewe ni nani kwa uzaidi hata kitabia ujue pana kazi hapo.
 
Umenena vzr mtoa mada, kwa mwenye kuelewa nafikiri kaelewa na hiyo haipo kwa wadada tu bali hata wakaka wapo baadhi wenye tabia za hivyo unakuta amekaa na karidhika na mshahara wake ambao akiupokea wote unaishia kwenye matumizi hata balance kidogo haibaki hawazi huko mbelen itakuwaje, eh mungu tusaidie na utuongoze wote ambao tunaelekea huko
 
Elimu tosha, lakini nasema sio wote wanawake wako hivyo. Ukiona mdada atanguliza ndoa bila kukujua wewe ni nani kwa uzaidi hata kitabia ujue pana kazi hapo.

MadameX uko sahihi si wote, niliyenaye sasa ana tofauti kubwa.
 
kwa hiyo ulimpa swaga za kumnunulia gari? Mmmh wewe na huyo ex wako wote mmmmh

Sivyo, anagari zuri tu, wala kwangu hakuwahi kutaka material things, actually alikuwa anataka kutoa zaidi toka kwenye vi mishahara vyake, posho na vijisenti vya babake. Shida sikuwa mwanaume wa hivyo.
 
Hii Mambo iko pande zote mbili ..one mistake two goals ..
So ni mambo tu ya kujipanga na kujua unataka nini maishani
 
On behalf of all men out here...
I declare this post as fit for use in all
testing pertaining the overall process of
finding a perfect match. With the disclaimer (In every rule there are exceptions)
taken into consideration.

Signed,
PetCash.

BIG UP MKUU.
 
Shukran mkuu PetCash
 
i solemnly second the petition.
 
Back
Top Bottom