Kwa nini nahemahema sana nikimaliza?

Ndo uache, usije ukamletea shida dada wa watu

Wajameni hivi kwa nini nikikojoa uhai nahema sana? Mbona sijakimbia kwa nini nihemeheme hivi na kuchoka sana.nahisi presha inanipanda kidogo jamani, sitakufa juu ya kifua cha mtu kweli?
 
Mkuu...
Hizo dalili mbaya.. wahi hospitali utashauriwa hasa kuhusu uwiano wa uzito wako na urefu wako na overall food discipline...

Angalie usifie kwenye K, ni kashfa nzito usiombee... utazikwa kwa 'soni'!

PP
 
Back
Top Bottom