Kwa nini mashabiki wa Yanga huamini Simba ni mbovu kuliko Timu yao?

Kuna wachambuzi nao wanayasema sana haya.
Simba ni mbovu kwa yanga,timu imeshinda lakini kipindi Cha pili ni kubutua na kupoteza muda...bado haijawa timu alichofanya robertinho ni kutengeneza mbinu mbili tatu za kupata magoli,ndiyo maana alipojulikana kajaje kwenye game kipindi Cha pili akapotea
 
Nilichojifunza ukiacha ushabiki kila mmoja akasifia chake basi watu wa yanga wana matatizo kwenye kichwa na kingine nashangaa sana wanapojifananisha na simba wakati hawako level moja . Sikatai simba nao wanaujinga wao lakini yanga wakipewa hata details za uongo wanayembea nazo. Nafurahi sana nikikuta watu walibishana simba na yanga nacheka japo sina ushabiki lakini kuna vitu kwa macho tu na uelewa mdogo unajifunza kuna tatizo sehemu. Kuna uzi uliletwa humu sjui yanga yupo nafasi ya ngapi basi wana yanga walitamba nao kumbe hata ukigoogle unajua kwamba mleta mada aliamua kuwavuruga wenzake ilimradi iaminike wenye akili pale ni wawili tu
 
Dah makolo yametufunga bwana ndio naamshwa kula Nimekubali Sasa nlipata denial moja kali Sana

Na nili bet na swalehe wakishinda Kesho na keshokutwa haendi shule naenda mimi kwa niaba ntafte uniform. Sasa aibu hii
 
Simba ni mbovu kwa yanga,timu imeshinda lakini kipindi Cha pili ni kubutua na kupoteza muda...bado haijawa timu alichofanya robertinho ni kutengeneza mbinu mbili tatu za kupata magoli,ndiyo maana alipojulikana kajaje kwenye game kipindi Cha pili akapotea
Nabi yeye akatengeneza mbinu bora za kufungwa.

Hakuna Utopolo mwenye akili !!!!!!
 
Simba ni mbovu kwa yanga,timu imeshinda lakini kipindi Cha pili ni kubutua na kupoteza muda...bado haijawa timu alichofanya robertinho ni kutengeneza mbinu mbili tatu za kupata magoli,ndiyo maana alipojulikana kajaje kwenye game kipindi Cha pili akapotea
 
Nilichojifunza ukiacha ushabiki kila mmoja akasifia chake basi watu wa yanga wana matatizo kwenye kichwa na kingine nashangaa sana wanapojifananisha na simba wakati hawako level moja . Sikatai simba nao wanaujinga wao lakini yanga wakipewa hata details za uongo wanayembea nazo. Nafurahi sana nikikuta watu walibishana simba na yanga nacheka japo sina ushabiki lakini kuna vitu kwa macho tu na uelewa mdogo unajifunza kuna tatizo sehemu. Kuna uzi uliletwa humu sjui yanga yupo nafasi ya ngapi basi wana yanga walitamba nao kumbe hata ukigoogle unajua kwamba mleta mada aliamua kuwavuruga wenzake ilimradi iaminike wenye akili pale ni wawili tu
 
Siku zote ushindi ni timing.
One mistake one goal.
Anaejua kutumia vizuri makosa ya mwenzake ndio mwenye akili na ndio ubora wenyewe.
No,Kuna timu itashinda sababu imejijenga kitimu na Ina ubora,na Kuna timu itavizia kushinda,itapata goli Kisha itakua na kazi ya kulinda mpaka mpira uishe
 
Back
Top Bottom