Kwa nini Maaskofu waliyakalia kimya mambo haya?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,330
33,954
Walinyang'anywa Shule zao wakakaa kimya

Walinyang'anywa Hospitali zao wakakaa kimya.

Walinyang'anywa vyuo vyao wakakaa kimya.

Leo waliosoma kwenye shule walizonyang'anywa ndio hao hao wanaosema kuwa maaskofu wanachanganya dini na Siasa.

Wale wale wanaotumia Hospitali za Kanisa badala ya kujenga za umma ndio hao hao wanaosema Kanisa linapendelewa na Serikali kupewa ruzuku ya kuziendeshea Hospitali hizo.

Wanasiasa waliodhulumu mali za Kanisa ndiyo hao hao leo wanawaambia Maaskofu wasichanganye Dini na Siasa.

Anayesema hivyo ni Mwanasiasa Muislam akiwa kwenye madhabahu ya Kanisa.

Yeye kimempeleka nini kanisani wakati siyo mkristo? Siyo yeye ndiye anayepeleka Siasa kanisani?
 
Anayesa hivyo ni Mwanasiasa Muislam akiwa kwenye madhabahu ya Kanisa.

Yeye kimempeleka nini kanisani wakati siyo mkristo? Siyo yeye ndiye anayepeleka Siasa kanisani?
Nangojea masheikh ubwabwa kwa utuvuuu!!
 
Walinyang'anywa Shule zao wakakaa kimya

Walinyang'anywa Hospitali zao wakakaa kimya.

Walinyang'anywa vyuo vyao wakakaa kimya.

Leo waliosoma kwenye shule walizonyang'anywa ndio hao hao wanaosema kuwa maaskofu wanachanganya dini na Siasa.

Wale wale wanaotumia Hospitali za Kanisa badala ya kujenga za umma ndio hao hao wanaosema Kanisa linapendelewa na Serikali kupewa ruzuku ya kuziendeshea Hospitali hizo.

Wanasiasa waliodhulumu mali za Kanisa ndiyo hao hao leo wanawaambia Maaskofu wasichanganye Dini na Siasa.

Anayesema hivyo ni Mwanasiasa Muislam akiwa kwenye madhabahu ya Kanisa.

Yeye kimempeleka nini kanisani wakati siyo mkristo? Siyo yeye ndiye anayepeleka Siasa kanisani?
Aache uongo! Wala hawakukaa kimya walitii Sheria iliyokuwepo! Kama anataka kulinganisha na wakati huu ebu atumie akili kidogo, mkataba huu unapingana na sheria zilizopo
 
Walinyang'anywa Shule zao wakakaa kimya

Walinyang'anywa Hospitali zao wakakaa kimya.

Walinyang'anywa vyuo vyao wakakaa kimya.

Leo waliosoma kwenye shule walizonyang'anywa ndio hao hao wanaosema kuwa maaskofu wanachanganya dini na Siasa.

Wale wale wanaotumia Hospitali za Kanisa badala ya kujenga za umma ndio hao hao wanaosema Kanisa linapendelewa na Serikali kupewa ruzuku ya kuziendeshea Hospitali hizo.

Wanasiasa waliodhulumu mali za Kanisa ndiyo hao hao leo wanawaambia Maaskofu wasichanganye Dini na Siasa.

Anayesema hivyo ni Mwanasiasa Muislam akiwa kwenye madhabahu ya Kanisa.

Yeye kimempeleka nini kanisani wakati siyo mkristo? Siyo yeye ndiye anayepeleka Siasa kanisani?
Kwako... Mwaipopo!!
 
Nimekulia katika Usabato, sikuwahi kuona asiye Msabato akialikwa kutoa neno mimbarani. Ilikuwa marufuku hata Kwa wanawake kuhubiri kama ilivyo kwenye 1Wakor 14:34. Wakati Kanisa likijisimamia wageni wa heshima walikuwa Wachungaji toka Kanisa au Mtaa mwingine. Leo wasabato wamekuwa wa kualika (wa Mataifa) kutoa neno Kanisani? Atakuhubiri nini Mtu asiyeamini Sawa na wewe? Au Wasabato na nyie mmesahau Ujumbe wa Malaika 3 mmeanza kutafuta utukufu wa kidunia?
 
Ajabu sana.

Kati ya watu waliokuwa wanasimama na Bibilia wakati wote walikuwa ni wasabato.

Naona wanasiasa walikuwa wanatafuta jukwaa la kupambana na watoa waraka, wakapewa na wasabato.

Jee wasabato WALE walipewa nini kama Zawadi yao ya kukubali mimbari yao kutumiwa na wanasiasa?
 
Walipewa mchango wa ujenzi wa Kanisa Mil.10 na mgeni wao katika Imani.
 
Walinyang'anywa Shule zao wakakaa kimya

Walinyang'anywa Hospitali zao wakakaa kimya.

Walinyang'anywa vyuo vyao wakakaa kimya.

Leo waliosoma kwenye shule walizonyang'anywa ndio hao hao wanaosema kuwa maaskofu wanachanganya dini na Siasa.

Wale wale wanaotumia Hospitali za Kanisa badala ya kujenga za umma ndio hao hao wanaosema Kanisa linapendelewa na Serikali kupewa ruzuku ya kuziendeshea Hospitali hizo.

Wanasiasa waliodhulumu mali za Kanisa ndiyo hao hao leo wanawaambia Maaskofu wasichanganye Dini na Siasa.

Anayesema hivyo ni Mwanasiasa Muislam akiwa kwenye madhabahu ya Kanisa.

Yeye kimempeleka nini kanisani wakati siyo mkristo? Siyo yeye ndiye anayepeleka Siasa kanisani?
Ukiona hivyo wewe sikiliza wimbo wa Roma
 
Sawa.

Kosa la Kanisa lilikuwa nini?

Maana huwezi kutaifisha kitu cha mtu bila ya mtu huyo kuwa na kosa!!
Sheria ilitungwa ili njia zote kuu za uchumi kuwa mali ya umma na ndipo lilizaliwa Azimio la Arusha. Kumbuka hata viongozi na watumishi wa umma walizuiwa kuwa na nyumba za kupangisha. Waarabu na wahindi walitaifishiwa nyumba zao zilizozidi thamani ya kitu kama laki moja na kukabidhiwa NHC.
 
Back
Top Bottom