Mimi Islam ila kura yangu CHADEMA! CUF ni hatari imekaa zaidi kama Islamic Jihad.
Uwanja wa jangwani una UPAKO - Mtu mwenye mambo ya giza lazima apige mweleka.
Muislam hajinadi,vitendo tu ndivyo vinavyomjulisha, hujakatazwa kupiga chadema,bt acha pumba ongea la maana.. je tukisema Chadema ni cha kikiristo,tena ushahidi upo wazi mgombea wao ni Padri utasemaje... kwa mantiki hiyo maisha chadema mtabaki chini.. kwani badala ya kuongea ya maana na jinsi gani tutaing'oa ccm,nyie mmeishika Cuf,mtafikir Cuf ndio wapinzani wenu. duh!
CUF ni chama cha wapemba ndiyo maana huku bara watu wenye akili nzuri kama Lwakatare walishastuka wakakikimbia siku nyingi.CUF kinahusishwa na uislam kwasababu wapemba wengi ni waislam hakuna wakristo kule
Angalia Hijab hizo!
CUF cha Wapemba na Waislamu,Chadema cha Wachagga na Wakatoliki.UDP cha Wasukuma Wanyantuzu.Mimi nahisi nibaki na hii CCM.
Ni kwewli, wapinzani wa CHADEMA ni CUF.
Nitakupa ushahidi, Jimbo la Kigoma ambapo Zitto anatetea.
CUF wanashirikiana na CCM ili kumwangusha Zitto.
Kitu cha msingi ni kuleta ushindani mkubwa kwa chama cha ccm na kukiondoa madarakani bila kujali itikadi ya vyama.
Kama unadhani cuf wanafaa basi piga kura ya NDIYO kwa CUF.Kama unaona CHADEMA inafaa basi piga kura ya NDIYO.
Hii ndiyo Demokrasia tunayoipigia makelele na elimu ya uraia ambayo ni haba sana kwa watanzania walio wengi.
MYTAKE:
- Tuwashauri ndugu zetu kujua haki na wajibu wa kupiga kura kuchagua viongozi,na sio kuishia kulalamika kila kukicha.
- Tuwafundishe watoto wetu kwenye vyuo vya uandishi wa habari waache kulalamika kila kukicha kuwa wanaonewa na hawapewi haki ya kupata habari.
- Tuwaeleze ndugu zetu athari za kupewa rushwa ya uchaguzi 2000 na baada ya uchaguzi unairudisha bila wewe kujua.
- Mbona Tanzania kuna wasomi vijana wengi tuu wanatoka vijijini?hawaoni hili?viongozi wote wanaoshabikia ccm leo walisoma bure,iweje leo watuambie tulipie pesa nyingi hivyo?AMUA SASA.
Ahsante Technician. Huyu bwana aliyeanzisha thread ni ''mtaalam'' maana alijua kuwa kuna ''simple minded people'' ambao unaweza kuwaondoa kwenye core issue kwa kutumbukiza nonsense issue na wakabaki wanajichanganya. Mimi nilidhani watu wangekuwa wanajadili kwanini watoto wetu katika karne hii wanakaa juu ya mawe chini ya paa la nyasi linaloitwa darasa.! masikini watoto hao ni akina John, Kasimu, Lilian na Mwajabu. Badala ya kujadili mustakabali wao, watu wanajadili dini zisizojibu hoja ya elimu duni, afya mbovu miaka 50 baada ya uhuru.
Badala ya kuwaeleza watu wetu nini maana ya uchaguzi na athari zake miaka 5 ijayo, watu wanajidili viwanja vya mikutano kana kwamba ndilo tatizo la tanzania. Badala ya kujadili ni kwanini serikali ipoteze trilion moja kwa misamaha, na misamamha hii inawasaidiaje wazazi wanaolala chini kule kigoma na temeke, watu wanajadili waliohudhuria mikutano walivaa kofia za aina gani.
Mwisho wa yote watauliza swali kwanini CCM inashinda, je inaaminiwa au wanaiba kura! Hawa hawa hawajui kuwa nafasi yao kulisaidia taifa ni pamoja na kuwa na mijadala yenye tija na afya. Hii kama si simple mind ni nini!
Naomba JF thread zinazotutoa katika core issue tuzi dharau, na nitafarijika kama hii ndio itakuwa post ya mwisho katika thread hii. Haitusaidii wala kumsaidia yule anayeteseka kwa dola 1 kwa siku, ndoo ya maji kichwani, mzigo wa kuni mkononi, mtoto mgongoni. Nani anaweza thibitisha kuwa dini na ukabila ndio chanzo cha umasikini Tanzania? Halafu hao hao wanajiita great thinkers!
Tubadilike watanzania!