Kwa ni lazima utangaze??

Dunia kijiji sasa hivi sio mtaani tu.Ni nchi nzima wanajua.We kopa halafu mtu aje jamvini hapa si dunia washajua.Maige kakopa crdb kanunua nyumba mbezi beach.
 
Ndiyo hiyo Dola 700,000?

Kuna mwingine kanunua ya Dola 500,000! Waziri mpya kabisa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom