Kwa ni lazima utangaze??

Kigarama

JF-Expert Member
Apr 23, 2007
2,492
1,230
Watu wengine bwana si waastaarabu hata kidogo, sijui wamejiumbaje umbaje??

Wewe unafanya kitu au jambo na mtu mkiwa wawili tu, lakini unakwenda mtaani unatangaza ili iweje? Mtu ulikuwa naye wewe na yeye mbaaaali na mnapoishi lakini baada ya siku moja tu mtaa mzima unajua, huu nao ni ustaarabu? Umemkopesha hela mtu kimya kimya lakini anapofanikiwa au anaposhindwa kulipa mzee unaanza kubwabwaja mtaani kwamba ulimkopesha hela.

Si kila jambo unalomfanyia mtu mwingine ulitangaze kwa watu, kuwa na "Kifua" ndugu yangu!!
 
Kigarama imekuweje tena?
umenikumbusha mshkaji flani zamani kila akienda kufanya mapenzi na mdada...anakuja hostel kutupa mkanda mzima...mpaka idadi za magoli...kiufupi alikua anaboa!...si uungwana hata kidogo!
 
Last edited by a moderator:
Kigarama imekuweje tena?
umenikumbusha mshkaji flani zamani kila akienda kufanya mapenzi na mdada...anakuja hostel kutupa mkanda mzima...mpaka idadi za magoli...kiufupi alikua anaboa!...si uungwana hata kidogo!
Si umeona eenh!! Nimemkuta jamaa anasimulia jinsi mwenzake alivyokwenda naye kwa waganga ili aupate ubunge na matambiko waliyoyafanya. Sasa wapiga kura wake wakimuona jamaa wanamchukuliaje. GAGULA?
 
Kigarama pole sana..

Au unakuta ulimsaidia "bimama" wa over 45 kimahaba,na mkakubaliana iwe siri.. Unakuja kusikia kuwa,"Oh..yule mama aliniambia wewe ni shemeji yetu.."

yaani!
 
Hapo maswali yanaanza... ilikuwaje mzee ukatoka na limama kama lile...
 
Tumekupata mkuu, acha niwasiliane na tume ya katiba hili dukuduku lako nalo pia lipenyezwe kwenye katiba.
Tunakushkuru sana kwa kuona uoza na ukaamua kuukemea.
Asante sana
 
Teh! Teh! Hii Katiba mbona itakuwa na kurasa milioni moja!!
 
mkuu wamekuanika nn? ulikopa au umemgonga yule mama alafu mambo yaka wekwa mezani? pole sana "HUO NI UPEPO NA UTAPITA"
 
Watu wengine bwana si waastaarabu hata kidogo, sijui wamejiumbaje umbaje??
Wewe unafanya kitu au jambo na mtu mkiwa wawili tu, lakini unakwenda mtaani unatangaza ili iweje? Mtu ulikuwa naye wewe na yeye mbaaaali na mnapoishi lakini baada ya siku moja tu mtaa mzima unajua, huu nao ni ustaarabu? Umemkopesha hela mtu kimya kimya lakini anapofanikiwa au anaposhindwa kulipa mzee unaanza kubwabwaja mtaani kwamba ulimkopesha hela.
Si kila jambo unalomfanyia mtu mwingine ulitangaze kwa watu, kuwa na "Kifua" ndugu yangu!!
hao sie tunawaita CNN
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom