Kwa NEC hii mpya, CCM inakwenda kufa - Dr. Slaa

Lazima, Kwa sababu ufisadi ndio mzizi na shina la matatizo yote ya nchi yetu kwa sasa. Ukosefu wa maji, dawa mahospitalini, shule duni, n.k. ni kwa sababu ya ufisadi. Unataka aongee nini tena zaidi ya kuongelea mzizi na shina la tatizo?
Dr Kitila nakuheshimu sana , hivi kwa kufikiria kwako ni kweli ufisadi tu ndio umesababisha haya matatizo tuliyo nayo? Fanya tafiti dr achana na siasa ww ni Mwana taaluma, wakati wa mwalimu ufisadi kulikuwa hakuna mbona hakuna maendeleo ya maana aliyo yafanya mwalimu zaidi yakuchukua rasilimali zetu na kukombolea nchi nyingine za kiafrika na kupigania vita?
 
kwa data za ufisadi wao hazipo kama wanankanusha si watueleze hizo information zilikuwa hewa au?
 
Wewe sio fisadi? Kama tafsiri ya ufisadi hata wewe ni fisadi...tukianza kuangalia mapato yako na kukwambia weka kweney spreedsheet utakuwa fisadi ata one time....hakuna aliye msafi...Dr anaogopa safu ile ambayo yeye anaita fisadi...kwa sera zake za 2010 hazina mzuka tena kama mmoja wao atakuwa mgombea urais...kwani itabidi atafute sera ingine ya kupambana nao....

Na mtu kama lowasa na chenge wamemnyamazia Dr. na anafahamu hilo siku wakiamua kumchokonoa dr. hataonekana majukwaani kabisa...

Africa, Tanzania in particular has each and everything for development except leadership. Yes, ninaweza kukubali kwamba kwa level fulani na kwa namna unavyolitazama neno FISADI mimi ni FISADI. But the question is "Kwa nini kila mtu ni au anonekana ni fisadi Tanzania? Ni kwa sababu from the top ambapo tulitegemea tuwe na the most honest and cleanest leaders badala yake tuna wezi, majambazi wauaji n.k. So no one especially ndani ya mfumo uliotengenezwa na CCM, hakuna anayeweza ku-point fingers kwa mwenzake kwa sababu wote wezi, but remember, Dr slaa can do that, Atleat the honest and cleanest person. Ebu fikiria kuhusu Nyerere?

Ili mimi na wewe tusiwe mafisadi, ili Taifa hili lisiangamie, ili watoto wako, wajukuu wako na wangu wasipotee kwenye sura ya Dunia kwa kuchinjana kwa sababu ya kukosekana kwa usawa na matumizi sawa ya resources of this country. Just now, only 2015 we need new clean and honest leadership hapa Tanzania. At least Dr has a record to prove that. Hope umenielewa.
 
Lazima, Kwa sababu ufisadi ndio mzizi na shina la matatizo yote ya nchi yetu kwa sasa. Ukosefu wa maji, dawa mahospitalini, shule duni, n.k. ni kwa sababu ya ufisadi. Unataka aongee nini tena zaidi ya kuongelea mzizi na shina la tatizo?

Kupungukiwa kwa hoja uku....inamaana hata watu kutojisomea na kutafuta njia mbadala wa kuondoka umasikini nao ni ufisadi....ok lets say chenge na lowasa ni mafisadi....or chama kizima njia mbadala atoe kwamba akichukua nchi atafanyaje? sio kusema wamejimaliza na kusema nchi nzima inawafahamu ni mafisadi....

Visibitisho anavyo si aende mahakamani? au nako atasema ni ufisadi so hakuna pa kushika? then tuna tatizo kubwa sana.
Mwenzie Lipumba na unguli wake katika uchumi alishindwa kuwaelezea wana geita watapata au wanakosaje kufaidika na mgodi wa geita....akaongea kwa kiingereza...nani sasa wa kumwelewa...
 
Africa, Tanzania in particular has each and everything for development except leadership. Yes, ninaweza kukubali kwamba kwa level fulani na kwa namna unavyolitazama neno FISADI mimi ni FISADI. But the question is "Kwa nini kila mtu ni au anonekana ni fisadi Tanzania? Ni kwa sababu from the top ambapo tulitegemea tuwe na the most honest and cleanest leaders badala yake tuna wezi, majambazi wauaji n.k. So no one especially ndani ya mfumo uliotengenezwa na CCM, hakuna anayeweza ku-point fingers kwa mwenzake kwa sababu wote wezi, but remember, Dr slaa can do that, Atleat the honest and cleanest person. Ebu fikiria kuhusu Nyerere?

Ili mimi na wewe tusiwe mafisadi, ili Taifa hili lisiangamie, ili watoto wako, wajukuu wako na wangu wasipotee kwenye sura ya Dunia kwa kuchinjana kwa sababu ya kukosekana kwa usawa na matumizi sawa ya resources of this country. Just now, only 2015 we need new clean and honest leadership hapa Tanzania. At least Dr has a record to prove that. Hope umenielewa.

Hana record ya kuwa clean Dr. Slaa kinacho mbeba ni kuwa aliwahi kuwa padri..that all hatujui lengo mbele hatujui kama kweli ana nia dhabiti kwa nchi hii...na sio ndoto zake zitimie....awe clean atueleze kwanini alicha upadre...je lengo lilikuwa ni kuja kwenye siasa ili kukomboa nchi kutoka mikononi mwa wadhalimu? na mbowe nae aeleze isije kuwa kama kina raila odinga wako pale ili watimize ndoto zao za kuwa rais the rest haiwahusu. Tunahitaji muda sana kuwachunguza viongozi wa juu wa chadema kuwapa nchi....watu watatu ambao siwaelewi elewi malengo yako ni Mbowe,Slaa na Zitto....kama wanaweza they should find someone kabisa watrain vyema kugombea uras not hawa....

Kama ajenda ni ufisadi hili neno tunalitumia vibaya sana.
 
Dr Kitila nakuheshimu sana , hivi kwa kufikiria kwako ni kweli ufisadi tu ndio umesababisha haya matatizo tuliyo nayo? Fanya tafiti dr achana na siasa ww ni Mwana taaluma, wakati wa mwalimu ufisadi kulikuwa hakuna mbona hakuna maendeleo ya maana aliyo yafanya mwalimu zaidi yakuchukua rasilimali zetu na kukombolea nchi nyingine za kiafrika na kupigania vita?
Nice justification! umesahau pia kuwa rasilimali alizitumia kutibu watanzania kwa gharama ya serikali, tulisoma kwenye madawati mazuri, tuligawiwa vitabu, madaftari, mikebe, kalamu mpaka nauli kwa gharama za serikali. Kumbuka by then hata madini tulikuwa hatujaanza kuchimba. Ufisadi ndio uliozaa most ya matatizo. Viongozi wetu hawana kauli kwa sababu mafisadi wamewaweka mifukoni mwao, infact ndio waliowaweka kwenye post walizonazo. .... Unakumbuka Pinda alipokiri kuwa "Mafisadi hawakamatiki, na tukiwakamata nchi itayumba" wewe mwanataaluma tupe tafsiri ya hiyo kauli iliyotolewa na kiongozi mkuu wa serikali. Nyerere alitumia rasilimali zetu kukomboa ndugu zetu waafrika, hakupeleka Butiama wala kutajirisha wanawe akina Makongoro na Madaraka kama tuonavyoshuhudia leo kwa akina RITZ1. Mafisadi wa CCM wanapeleka pesa uswisi kumkomboa nani? Twiga uarabuni kwa faida ya nani? Ufisadi umeleta matabaka, umebadilisha mindset za watumishi wa umma, umepunguza morali za watumishi. kazi zinaonekana haziwezi kumfanikisha mtu bila kuiba nk.
 
Hana record ya kuwa clean Dr. Slaa kinacho mbeba ni kuwa aliwahi kuwa padri..that all hatujui lengo mbele hatujui kama kweli ana nia dhabiti kwa nchi hii...na sio ndoto zake zitimie....awe clean atueleze kwanini alicha upadre...je lengo lilikuwa ni kuja kwenye siasa ili kukomboa nchi kutoka mikononi mwa wadhalimu? na mbowe nae aeleze isije kuwa kama kina raila odinga wako pale ili watimize ndoto zao za kuwa rais the rest haiwahusu. Tunahitaji muda sana kuwachunguza viongozi wa juu wa chadema kuwapa nchi....watu watatu ambao siwaelewi elewi malengo yako ni Mbowe,Slaa na Zitto....kama wanaweza they should find someone kabisa watrain vyema kugombea uras not hawa....

Kama ajenda ni ufisadi hili neno tunalitumia vibaya sana.

Dr Slaa amekuwa MP kwa muda wa miaka 15, Unakumbuka?Sikuwahi kusikia kaiba mali ya umma wala yako. Nafikiri angekuwa ni FISADI Magamba leo hii yangekuwa yanaendelea kutamba. Akiwa mbunge unakumbuka aliyoyafanya jimboni mwake, Bungeni na taifa kwa ujumla? Najaribu kukukumbusha tu, cause I am sure you Know ila ulikuwa umesahau kidogo. Naomab nikuulize swali mkuu: Ni watu gani, wa kada gani wanastahili kuwa marais au kugombea urais wa Tanzania? Wakati unajibu uwe unazingatia pia katiba mbovu tulonayo.
 
Ukimpiga swala mshale mkimbilie.....usianze kupiga vigelegele...
Kuna makubaliano na nchi wahisani kuwa watuhumiwa wa ufisadi washughulikiwe,lakini anachofanya JK ni kuhakikisha hilo halifanyiki.

Ukiangalia PCCB,DPP,JK usanii mtupu.Wote wanafanya kazi kwa matakwa ya chama,na chama kimeshikiliwa na mafisadi.
 
Hana record ya kuwa clean Dr. Slaa kinacho mbeba ni kuwa aliwahi kuwa padri..that all hatujui lengo mbele hatujui kama kweli ana nia dhabiti kwa nchi hii...na sio ndoto zake zitimie....awe clean atueleze kwanini alicha upadre...je lengo lilikuwa ni kuja kwenye siasa ili kukomboa nchi kutoka mikononi mwa wadhalimu? na mbowe nae aeleze isije kuwa kama kina raila odinga wako pale ili watimize ndoto zao za kuwa rais the rest haiwahusu. Tunahitaji muda sana kuwachunguza viongozi wa juu wa chadema kuwapa nchi....watu watatu ambao siwaelewi elewi malengo yako ni Mbowe,Slaa na Zitto....kama wanaweza they should find someone kabisa watrain vyema kugombea uras not hawa....

Kama ajenda ni ufisadi hili neno tunalitumia vibaya sana.

...Aliacha upadre kwa sababu Mungu aliona karama yake ingetumika vizuri zaidi kwa faida ya watanzania wote kuliko kumlimit na wakatoliki tu. Na hili tumelithibitisha maana wapo mapadre wengi tu wenye karama kama za Dr lakini wamebaki kanisani na impact ya karama zao haijasambaa kumgusa kila mtanzania.
 
ORODHA YA MTANDAO WA USULTANI NDANI YA CCM
1/Salma Kikwete
2/Ridhwani Kikwete
3/Anne Kilango Mallecela
4/William Mallecela
5/January Makamba
6/Hussein Mwinyi
7/Adam Malima
8/Vita Kawawa
9/Nape Nnauye
10/..........
11/.............
12/.............
Mimi sioni ajabu kwa mtoto kufata fani ya mzazi wake,kuna watoto wa madaktari waliofata wazazi wao,kuna mawakili,kuna wafanya biashara na pia kuna watoto waliofata fani ya ujobless kama za baba zao,tena hawa wana fata pia ile tabia ya kulalamika kila siku kama wazee wao.
 
Nice justification! umesahau pia kuwa rasilimali alizitumia kutibu watanzania kwa gharama ya serikali, tulisoma kwenye madawati mazuri, tuligawiwa vitabu, madaftari, mikebe, kalamu mpaka nauli kwa gharama za serikali. Kumbuka by then hata madini tulikuwa hatujaanza kuchimba. Ufisadi ndio uliozaa most ya matatizo. Viongozi wetu hawana kauli kwa sababu mafisadi wamewaweka mifukoni mwao, infact ndio waliowaweka kwenye post walizonazo. .... Unakumbuka Pinda alipokiri kuwa "Mafisadi hawakamatiki, na tukiwakamata nchi itayumba" wewe mwanataaluma tupe tafsiri ya hiyo kauli iliyotolewa na kiongozi mkuu wa serikali. Nyerere alitumia rasilimali zetu kukomboa ndugu zetu waafrika, hakupeleka Butiama wala kutajirisha wanawe akina Makongoro na Madaraka kama tuonavyoshuhudia leo kwa akina RITZ1. Mafisadi wa CCM wanapeleka pesa uswisi kumkomboa nani? Twiga uarabuni kwa faida ya nani? Ufisadi umeleta matabaka, umebadilisha mindset za watumishi wa umma, umepunguza morali za watumishi. kazi zinaonekana haziwezi kumfanikisha mtu bila kuiba nk.

Nafikiri ujiulize fisadi ni nani then uje tena kuchangia kuliko kutoka jasho humu...tafsiri ya fisadi ni nini? Kiongozi asiye somesha na kujali familia yake ndio kiongozi...mzani huo sio kipimo kwa siasa za sasa....mkuu....yaani wewe ukisomesha watoto wako waje wapate kuwa na maisha bora wewe ni fisadi...

Then slaa ndio sawa?
 
Mie ninacho shindwa kumuelewa huyu mzee nikusema maneno matupu pasipo matendo, km Ana ushahidi na uko wazi kwa nn asiwasiliane na wana sheria akawa peleka hao watuhumiwa wa ufisadi mahakamani? Kuna saidia nn kusema tu kila siku bila actions? Slaa unajishushia hadhi kwa ngonjera zako
Kesi haifikishwi mahakamani bila DPP kuamuwa,tena kama inahusu rushwa,na Hosea na yeye anatakiwa kuhusishwa.Istand to be corrected.
 
Nafikiri ujiulize fisadi ni nani then uje tena kuchangia kuliko kutoka jasho humu...tafsiri ya fisadi ni nini? Kiongozi asiye somesha na kujali familia yake ndio kiongozi...mzani huo sio kipimo kwa siasa za sasa....mkuu....yaani wewe ukisomesha watoto wako waje wapate kuwa na maisha bora wewe ni fisadi...

Then slaa ndio sawa?
Mkuu umepotea sana,vipi za huko Shinyanga?

Kama hujui fisadi ni nani,basi inawezekana hujitambui.Siyo kosa lako.
 
Concrete
ORODHA YA MTANDAO WA USULTANI NDANI YA CCM
1/Salma Kikwete
2/Ridhwani Kikwete
3/Anne Kilango Mallecela
4/William Mallecela
5/January Makamba
6/Hussein Mwinyi
7/Adam Malima
8/Vita Kawawa
9/Nape Nnauye
10/..........
11/.............
12/.............

Somesha watoto ndugu yangu ndio urithi unao weza mpatia ukingali na mifupa na uwezo...chadema wakichukua nchi 2020 + Mtoto wako ndio atakuwa katibu mkuu...Mkurungezi utaitwa fisadi....kama ndio tafsiri ya ufisadi.

Mkuu umepotea sana,vipi za huko Shinyanga?

Kama hujui fisadi ni nani,basi inawezekana hujitambui.Siyo kosa lako.

Uku salama kabisa tunaendelea na kilimo mvua zaonekana kutupa matuamini...tulime tusomeshe watoto...tupate na hela za kujikimu....then watuite mafisadi....Pole kwa mawazo...
 
Haya mkuu,time will tell.
 
ACHA UMBEA ccm inakufa wenyewe wanajua wenye ccm.habari za kujificha mbunge umezitoa wapi wakat mm nlikuwa eneo la tukio
 
Ccm kamwe hawawezi kuiachia nchi hii kwa urahisi.....jk anaona bola liende maana 2015 hatakuwepo so litakaloipata ccm hayamuhusu!
 
Huyu mzee hana sera ingine zaidi ya ufisadi? analia sana.....aseme mengine...hawa ni watuhumiwa sio mafisadi.....tumechoshwa na sera zake za ufisadi ufisadi....
Gamba at work!... Kazana uongezewe posho a Lumumba!
 
Back
Top Bottom