Asante kwa angalizo mkuu. Lakini ninachojua mimi lazima daftari litakuwa updated kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa na hata uchaguzi mkuu.
Kitu ninachokiona cha msingi ni kwa vyama vya siasa hasa vya upinza kuhakikisha wanawabana NEC kuhakikisha majina yawaliojiandikisha yanababdikwa hata mwaka ujao ilikuhakikisha kila mtu jina lake limeandikishwa sehemu sahihi. NEC wamekuwa wakitumia huu mwanya kuweka makosa mengi sana ambayo huwakatisha tamaa wapiga kura kwa sababu ya majina yao kuhamishwa hamishwa au kuondolewa kinyamela.
Chadema lazima wale sahani moja na NEC kuhakikisha Daftatri liko 100 Perc correct na wananchi wamepitia majina yao hata miezi mitatu kabla ya uchaguzi ili kutoa nafasi kwa NEC kurekebishwa kasoro hizo mapema kabla ya uchaguzi. Na kama NEC watasababisha makosa basi Wawajibike.
.