Kwa mwendo huu hata uchaguzi ukifanyika nyumbani kwa Dr Slaa bado CCM watashinda tu.

DCONSCIOUS

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
1,269
473
Najua wapo watakao bisha lakini huu ndio ukweli. Kwasababu kunakata ambazo hazija fanya uchaguzi bado kumekuwa na zoezi linalo endeshwa na enyeviti wa vitongoji na mabarozi la kunua vitambulisho vya kupigia kura kwa vijana. Hali itakayo fanya wazee tu ndio wakapige kura na CCM kuibuka na ushindi hata ikija tokea uchaguzi unafanyika nyumbani kwa slaa bado ccm itashinda daima kama hakuna hatua mbadala zitakazo Zukuliwa
 
hatua gani unapendeza zilichukuliwe?
 
Acha kutoa hoja zisizo na mashiko. Chadema wanakosa kura kwa vile wanachama wake wengi ni ma-lay man.
 
Mkuu, umeipata wapi hii?
 
Acha kutoa hoja zisizo na mashiko. Chadema wanakosa kura kwa vile wanachama wake wengi ni ma-lay man.

Haya matusi yenu yanamwisho.Nimejifunza sana kwa Gadafi,kwani hata mimi nilishafikia hatua yakusema Gadafi hawatamuweza i was shocked to hear about his death.Nikirudi kwako CCM has to die.Sijui ma-lay-man,mara panya mmmmm ngoja yaendelee tu yote haya ni kwa kitambo.
 
mkuu Gaddafi walimsodomoa kabla ya kumua, ccm nani atasodomolewa?
 
Endeleeni kuuchonga na kupeana imani za kufikirika,kesho mtasema hata uchaguzi ufanyike majumbani mwa wanchama wa chadema bado CCM itashinda.ila angalizo alilotoa Josephine lina mantiki kama ukitafakari safari ya uongozi ya Gadaffi na kile alichojaribu kuwafanyia wananchi wa Libya,sasaaribu ku-compare na ufisadi mnaotufanyie CCM,kisha pata jibu la hiyo post yako na wote mnao-support kwa kusema wana chama wa chadema ni ma- lay man,na mwenzenu kishautamkia umma wa wa-TZ wa Arusha kwamba ni panya.
Time will tell
 
acha kutoa hoja zisizo na mashiko. Chadema wanakosa kura kwa vile wanachama wake wengi ni ma-lay man.
.......... Uwezo wako kufikiri ni mdogo sana ndo maana watu wanatoa hoja wewe unatukana hata gadafi aliwaita
wale jamaa panya na waziri membe akasema ........"nchi haitekwi kwa pick up ni wahuni hao" yakowapi leo ....?
 
Hii ni kati ya zile thread chache zinazojaribu kukitia moyo chama cha magamba na majizi yaliyokubuhu kutokana na muanguko wake kwa kasi.

Haitasaidia chchote kwani CCM sasa ni free fall -- has reached the point of no return!
 
Hakuna ukweli ulio 100 kwa 100 wala uongo usiokuwa na japo 1% ya ukweli.
Ninachotaka kusema ni kuwa ikiwa kweli Watanzania wenye uchungu hasa na nchi hii na wale wenye nia hasa ya kuleta mabadiliko hatutobadilika, ushindi kwa chama cha upinzani Tz utakuwa mgumu. Kwa maoni yangu (si lazima kila mtu akubaliane nami) nikiungana na Dconcious, wapinzani tunatakiwa kugundua kila mbinu chafu ya magamba za kuzizuwia, zikiwemo hizo za unuaji kura, utumiaji wa mabavu, uchakachuaji, ufisadi, mfumo wa utawala (wanaCCM: wakuu wa mikoa, wilaya, halmashauri za miji, mabalozi n.k. kuwa wasimamizi wa uchaguzi). Ikiwa yote yataendelea huku tunasubiri mabadiliko na ushindi kutoka mbinguni, tusahau.

Na si hilo tu (pia kwa maoni yangu), lakini pia ushindi kwa upinzani utakuwa rahisi zaidi pale tu ambapo kwa pamoja watakiona magamba kuwa ndio adui wao mkubwa badala ya kuonana maadui wao kwa wao na kushutumiana. Hii nayo ni mbinu ya magamba ya "wagawanye uwatawale". Hata majirani zetu Kenya walifanikiwa pale tu wapinzani walipounganisha nguvu zao.
 
Back
Top Bottom