Kwa mwendo huu hata uchaguzi ukifanyika nyumbani kwa Dr Slaa bado CCM watashinda tu.

Asante kwa angalizo mkuu. Lakini ninachojua mimi lazima daftari litakuwa updated kabla ya uchaguzi wa serikali za mitaa na hata uchaguzi mkuu.

Kitu ninachokiona cha msingi ni kwa vyama vya siasa hasa vya upinza kuhakikisha wanawabana NEC kuhakikisha majina yawaliojiandikisha yanababdikwa hata mwaka ujao ilikuhakikisha kila mtu jina lake limeandikishwa sehemu sahihi. NEC wamekuwa wakitumia huu mwanya kuweka makosa mengi sana ambayo huwakatisha tamaa wapiga kura kwa sababu ya majina yao kuhamishwa hamishwa au kuondolewa kinyamela.

Chadema lazima wale sahani moja na NEC kuhakikisha Daftatri liko 100 Perc correct na wananchi wamepitia majina yao hata miezi mitatu kabla ya uchaguzi ili kutoa nafasi kwa NEC kurekebishwa kasoro hizo mapema kabla ya uchaguzi. Na kama NEC watasababisha makosa basi Wawajibike.
.
 
najua wapo watakao bisha lakini huu ndio ukweli. Kwasababu kunakata ambazo hazija fanya uchaguzi bado kumekuwa na zoezi linalo endeshwa na enyeviti wa vitongoji na mabarozi la kunua vitambulisho vya kupigia kura kwa vijana. Hali itakayo fanya wazee tu ndio wakapige kura na ccm kuibuka na ushindi hata ikija tokea uchaguzi unafanyika nyumbani kwa slaa bado ccm itashinda daima kama hakuna hatua mbadala zitakazo zukuliwa




yaani mpaka leo hujui kuwa chadema kitashinda huko ujerumani kwenye chama chenye mrengo sawa wa kikanisa yaani christian democratic union (cdu) kwa kiswahili ni chama cha demokkrasia cha kikristu na hiki cdm ni chama cha demokrasia cha mapadri. Nadhani chadema wamepotea njia kwani hawamjui mpinzani wao wala si ccm kama wanavyodai.sisi huku tanzania hatuna udini sawa padri slaa?
 
Acha kutoa hoja zisizo na mashiko. Chadema wanakosa kura kwa vile wanachama wake wengi ni ma-lay man.
Mhh! hii ipoje ? yaani wanachama wa CHADEMA ni ma-layman? Sijui, nijuavyo mimi layman ni mtu ambaye hajapata mafunzo ya au hana ujuzi wa kina juu ya kitu husika. Sasa sijui unaposema CHADEMA ni ma-layman ni ma-layman katika nini? Tafadhali fafanua?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom