Kwa mwaka huu hawa watu wamekuwa na mchango mkubwa sana kwangu hapa JF

mimi chaguo langu ni EXCELLENT,ASHADII,MWITA25,FAIZAFOXY.REJAO,PK NA MODS WOTE.asanteni kwa usikivu.
 
Nimesahau,FF ni member ambaye alikuwepo kama hakuwepo ila yupo...

Hivyo anaingia kwenye listi ya members ambaye ni relatively new to me, licha ya kwamba alijiunga toka 2007 sawa na mimi...
 
Nzuri sana Dena, nashangaa wamekusahau! Usiwajali sana, mimi natambua na kufurahia uwepo na michango yako.
Kaka huwezi kuwakumbuka wote bhana na we unatakiwa kuwaongeza na ndio maana kukawa na sehemu ya list inaendelea
Kama JMushi1 alivyofanya analysis ya nyota tano
 
Nimesahau,FF ni member ambaye alikuwepo kama hakuwepo ila yupo...

Hivyo anaingia kwenye listi ya members ambaye ni relatively new to me, licha ya kwamba alijiunga toka 2007 sawa na mimi...
Inawezekana ile ban aliyopewa ya mwaka mzima kisha akatoka kwa parole ndio ilifanya uhisi kawa mpya
 
Hebu subiri narudi tena baadae ngoja nichukue katusi sorry kamusi!!!!! Kuna wengine siwakumbuki
 
Maana yuko kama mtoto nilimkuta familia moja
ukimwambia kula, anakuuliza mmepika nini.
Ukijibu wali, anasema mie nataka ugali
ukipika ugali anataka kande
ilimradi anawachenga tu

Hamna wa kumridhisha humu zaidi yangu mimi
 
Hebu subiri narudi tena baadae ngoja nichukue katusi sorry kamusi!!!!! Kuna wengine siwakumbuki
Ah si ndio nasikia ulianguka ukagonga kichwa chini...............pole sana ila inaweza kuwa sababu hiyo umewasahau wengine
 
Back
Top Bottom