Kwa mwaka huu hawa watu wamekuwa na mchango mkubwa sana kwangu hapa JF

Du ile kwenda likizo ya shughuli nyingi naona bwana mudogo Musimo Jr unarithi avatar hata kabla sijafa??
Na mademu zangu sijui kama bado wapo?
 
daaah, nilikuwa wapi sijaiona hii? Asante sana M'jr....ingawaje nimekuwa wa mwisho kushukuru, naamini bado tupo pamoja. Be blessed.
 
Duh, Musimo Jr, nashukuru kuniweka miongoni mwao waliokugusa kwa michango na mabandiko yao. Shukrani kwako Musimi Jr, shukrani kwa wana JF wote.
Cheers!
 
daaah, nilikuwa wapi sijaiona hii? Asante sana M'jr....ingawaje nimekuwa wa mwisho kushukuru, naamini bado tupo pamoja. Be blessed.
Dah nimeipenda hiyo M'jr na ningekuwa najua namna ya kufanya ningebadili name ikawa hiyo
 
Haya bana, leo ni mara ya pili unanambia umependa, ngoja na mimi nikazane kukuita hivyo hivyo mpaka ushawishike kubadili kikweli kweli...lol.
 
Nshashawishika tayari mwenzio...........
 
Back
Top Bottom