Kwa mwaka huu hawa watu wamekuwa na mchango mkubwa sana kwangu hapa JF

Sijui. . . . wewe ndio uniambie!
Well nimekuwa naangalia threads, post, coments zako kwenye threads mbalimbali including mine n thats why i mentioned u............
 
Kwahiyo watu ULIOANGALIA THREAD, POST na COMMENT zao ni hao hapo juu tu?
 
No way nimeangalia za watu wengi sana sana sana, but the ones i mentioned hapo ni wale ambao kwa mtizamo wangu mimi wameni inspire kwa namna moja au nyingine. Sababu nyingine HAZIELEZEKI...................
 
Sure hiyo list imetulia sana....
wengine walienda mbali zaidi hapo katikati ya mwaka na kuwavisha taji la
"usupastaa" wa JF lol...
Japo sioni ubaya wake hao jamaa wanastahili sana, kwa nafasi zao na majukwaa yao.....
 
I'm more interested in "hizo zisizoelezeka".
 
Sure hiyo list imetulia sana....
wengine walienda mbali zaidi hapo katikati ya mwaka na kuwavisha taji la
"usupastaa" wa JF lol...
Japo sioni ubaya wake hao jamaa wanastahili sana, kwa nafasi zao na majukwaa yao.....
I believe some of them are really supastaaz, unajua being popular, and do things for others zinaweza kuwa baadhi ta sifa za kuwa supastaa
 
Tafuta namna ya kuzisema basi. . .
Haya ntasema hapa hapa...................................Hope sitapigwa na TF

Well after all the bla blas i said before....................the main reason z that "I LIKE U"
 
Mkuu umekuwa mchango mkubwa kwangu baada ya kunitaja, hivi mimi nimeku inspire kiaje lakini?
 
Hehehehe, kumbe hii thread ni hongo tu ehhhh?
Ahsante, nawe unalaikiwa.
 
Mkuu nataka kuwa very brief as i can be ili nisiwe kama mwanasiasa,

Unajua unapotoa thread na watu wakarespond kwenye hiyo thread inakupa hamasa zaidi ya kuendelea kuwepo. Katika thread nyingi ambazo nimekuwa napost hapa wewe umekuwa mmojawapo wa watu ambao wamekuwa waki comment katika nyingi. Thats what inspired me to keep posting and posting
 
Hehehehe, kumbe hii thread ni hongo tu ehhhh?
Ahsante, nawe unalaikiwa.
Sio Hongo bhana ila ni kitu inaitwa "VALUE CHAIN" Teh Teh.................... Senkyu kwa kunilaiki pia
 
Back
Top Bottom