Kwa muda wa saa 1 Nape kaitaja CHADEMA mara 57

Kwenye mjadala wa tuongee asubuhi uliorushwa na kituo cha runinga cha startv uliokuwa na kichwa "Maazimio ya nec ccm kuelekea 2015" Nape Nauye ameitaja Chadema mara 57 ndani ya saa 1 kwenye hoja zake tofauti wakati wa kuchangia na kujibu maswali.

Yeye binafsi alisha wahi kusema kuwa ni muda wa Chadema kucheza ngoma ya ccm, najiuliza hiyo Nec ilikaa ili kuijadili chadema au kutengeneza mpango mkakati wao kuelekea 2015?

...Wafa maji hawa hawaishi kutapatapa....si umewasikia mchapa usingizi maarufu mjengoni Gamba Stephen Chapa Usingizi Wassira na yule pandikizi la Magamba CDM, Gamba John Mganga Njaa Shibuda wanavyohaha huku na kule kuisemea hovyo CDM.....Hawana jipya hawa bali kuelekeza mashambulizi makali kwa CDM baada ya kugundua chama hicho walichodai ni cha Wakristo na Wachaga kikizidi kupata umaarufu mkubwa kila kona ya nchi toka kwa makabila na dini zote nchini.

kwa hiyo mtoa hoja ulichukua kalamu na karatasi ukaanza ku-tally kila wakati ulivyosikia neno CHADEMA toka kwa Nape....!![/aQUOTE]Amani nakuonea sana huruma na ccm yako,,nakumbuka walivyokuwa wanakudanganya na viallowance vya mikutano yao wakati tuko Ilboru,vitakutokea puani very soon
 
...Wafa maji hawa hawaishi kutapatapa....si umewasikia mchapa usingizi maarufu mjengoni Gamba Stephen Chapa Usingizi Wassira na yule pandikizi la Magamba CDM, Gamba John Mganga Njaa Shibuda wanavyohaha huku na kule kuisemea hovyo CDM.....Hawana jipya hawa bali kuelekeza mashambulizi makali kwa CDM baada ya kugundua chama hicho walichodai ni cha Wakristo na Wachaga kikizidi kupata umaarufu mkubwa kila kona ya nchi toka kwa makabila na dini zote nchini.

Thats too low mzee for a thinker of your stature.
Ukiiga watoto kwa kutoa matusi utaishia kuwa just like the rest of them-coconuts!
 
Thats too low mzee for a thinker of your stature.
Ukiiga watoto kwa kutoa matusi utaishia kuwa just like the rest of them-coconuts!

Hehehehe wakati mwingine inabidi watusiwe hawa maana nchi tajiri kama ya kwetu na asilimia kubwa ya Wabongo wakiishi katika ufukara wa kutisha na wao wakizidi kujilimbikizia mabilioni na kubwabwaja kuhusu CDM inaudhi sana.
 
Leo tena nimesikia atakuwa kwenye kipindi cha jenerali on monday nataka nimuone ataitaja tena chadema mara ngapi.
 
Hivi hamjui kama Chadema ni sawa na wizari ya mambo ya ndani katika nchi hii? kwakua kila madudu yatakayofanyika ndani ya serikali ya CCM lazima Chadema wajue na hii nikua ndani ya serikali ya CCM kuna wanakondoo waliovaa ngozi ya chui mmoja wapo ni Nape! Karibu sana Nape wale wafuasi wa CCJ tuko nao bado wewe uliyeanzisha CCJ.
 
Tambwe Hizza, a.k.a MS, Tume ya katiba, anaitaja CDM mara ngapi kwa siku?
 
Back
Top Bottom